Waliosoma Jamhuri High School Dodoma | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Waliosoma Jamhuri High School Dodoma

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Malolella, Jun 27, 2012.

 1. M

  Malolella JF-Expert Member

  #1
  Jun 27, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 367
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Nimeikumbuka shule yangu Jamhuri Dodoma miaka ya 2004-2006 ilikuwa inatisha balaa! 2likuwa 2kigongewa lecture wengine wapo madirishani kama 2po chuo vile. Maticha waliobobea kama mzazi aka Beda, Mwanansao, Mlugu na wengineo walikuwa wanatisha sana. Hebu 2kumbushane machache kwa waliopita hujam!
   
Loading...