Waliosoma IT na ICT wanaajiriwa sekta moja?

Siku nyingine mgeni Anza kupiga hodi halafu ukikaribishwa uanze kisalimia kabla haujaeleza shida zako,sawa?
 
Jamani naomba kujua tofauti kati ya IT NA ICT pia naomba nfahamu aliyesoma IT na mwingine ICT wanaajiliwa katika sekta saww?
IT = Information Technology
ICT = Information & Communication Technology
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…