Walioshinda rufaa vyeti feki

Mkuu likiwa jambo lenye mafanikio hilo ni la ccm, ila hili la kuharibu maisha ya watu ndio mnasema sio la ccm!!?
Ni jambo gani limefanyika linaharibu maisha ya watu?
 
waiburuze serikali mahakamani , walipwe mishara ya miezi yote waloachishwa kazi na compensation ya kudhalilika,ili serikali ijue kuwa makini na sio kufanya kazi kwa jazba na kukurupuka
 
Kuwatuhumu watu wana vyeti fake, kisha wanashinda kesi lakini hawarudishwi kazini.
Huu ni mchakato mkuu, system yeyote lazima ifanye hii michakato, ni sawa na kufanya usafi wa jengo/nyumba
 
Huu ni mchakato mkuu, system yeyote lazima ifanye hii michakato, ni sawa na kufanya usafi wa jengo/nyumba

Mchakato ndio kushindwa kurudisha walioshinda kesi kazini? Au ni mimi sielewi maana ya mchakato?
 

Mafuta ya taa yanapanda bei wakati wakihubiri kuwa na uchungu na umasikini. Labda watu wakiumia sana ndio wanapata akili za kutatua matatizo yao.
 
  • Kifupi serikali hii ilishafirisika kitambo na haina uwezo wa kulipa mishahara ya watumishi wake: nimeamua kurudia tena maneno haya kwa kuwa wakati ule kuna baadhi ya watu hawakuwa tayari kuamini na sasa wasubiri mwezi November watalia na kusaga meno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…