mkuu kwani CCM ndio inawalipa? au wanaidau CCM?Mie nawaambia tume huru idaiwe mapema ccm itoke vinginevyo watanzania mtapata tabu sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndy inayo ongoza serikali na kama chama kuna katiba ambyo lazima ifuate na mukulu ndy mweyekiti wa chama lazma ifuate. Fisiemu isipotoka madarakani mambo unayo yaona sasa yataendelea kama kawaida.mkuu kwani CCM ndio inawalipa? au wanaidau CCM?
Haya mambo yanaenda kikanuni na utaratibu. Kila kitu kipo kisheria mkuuNdy inayo ongoza serikali na kama chama kuna katiba ambyo lazima ifuate na mukulu ndy mweyekiti wa chama lazma ifuate. Fisiemu isipotoka madarakani mambo unayo yaona sasa yataendelea kama kawaida.
Sheria gani mpaka sasa imefuatwa juu ya watu waliokata rufaa na wakashinda...?Haya mambo yanaenda kikanuni na utaratibu. Kila kitu kipo kisheria mkuu
Kuna sheria za utumishi. Wakifuata hizi watalipwa tu masilahi yaoSheria gani mpaka sasa imefuatwa juu ya watu waliokata rufaa na wakashinda...?
Sheria ipi kama sio amri ya mahakama warudishwe kaziniKuna sheria za utumishi. Wakifuata hizi watalipwa tu masilahi yao
mkuu kwani CCM ndio inawalipa? au wanaidau CCM?
Hata hiyo mahakama inatafsiri sheria. kwa hiyo sheria ndio kila kituSheria ipi kama sio amri ya mahakama warudishwe kazini