Walioshinda nafasi za ubunge 2025

Walioshinda nafasi za ubunge 2025

funaku

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
38,535
Reaction score
31,199
Thread hii ni kwa ajili ya kuwatambua wabunge wateule kwa kila jimbo kufuatia uchaguzi wa 2025.
Tuma jina la Mbunge mteule wa jimbo lako hapa
 
Mimi naanza na orodha hiyo hapo hao ndio washindi wa ubunge.

Kuanzia kulia kwenda kushoto ni wabunge wa:-

Tumbatu

Kojani

Chake chake

Chambani.

Vipi hapo umeridhika jinga lao?

20251104_120304.jpg
 
Mpigie simu Ustadh Kailima akuambie wameamua kuwapa kina nani kila jimbo.
 
Mimi naanza na orodha hiyo hapo hao ndio washindi wa ubunge.

Kuanzia kulia kwenda kushoto ni wabunge wa:-

Tumbatu

Kojani

Chake chake

Chambani.

Vipi hapo umeridhika jinga lao?

View attachment 3497310
Huyo bwege kavaa Jezi ya wananchi bana kumbe ana roho ya shetani. Mabalaa yamkute yeye na familia yake na kizazi cha 10 kwake
 
Majina anayo Vampire wa kike. Usishangae siku ya bunge kuanza mkakuta kuna Wamalawi kuwa ni wabunge bila hata kugombea.

Akiamka anaamua tu hata hawara yake ampe jimbo.
 
Huyo bwege kavaa Jezi ya wananchi bana kumbe ana roho ya shetani. Mabalaa yamkute yeye na familia yake na kizazi cha 10 kwake
Hao ndio wabunge wa "serikali ya damu na risasi"
 
Waliokuwa wagombea 17 wa urais 2025:

1. S.
2. A.
3. M.
4. I.
5. A
6. S.
7. U.
8. L.
9. U
10. H
11. U
12. H
13. A
14. S
15. A
16. N
17. I
 
Back
Top Bottom