Waliosema TBCCM hawakukosea.

Waliosema TBCCM hawakukosea.

Leo niliamua kuangalia TBC kuona watakavyo ripoti ufungaji wa kampeni za Ukonga na Monduli.
1. Monduli: TBC wameripoti taarifa za CCM tu.
2. Ukonga: TBC wameripoti 98% taarifa za CCM na 2% taarifa za CHADEMA.
Kama haitoshi wakaenda kuripoti taarifa za ufungaji kampeni za udiwani za CCM huko Tukuyu Mbeya.
Kwakweli mlioibatiza TBC kuwa ni TBCCM hamkukosea.
Leo ndo unajua kaka
 
TV ya Taifa kufanya Kazi kwa serikali ilioko madarakani.subili siku ishinde hicho chama chako utafurahia utakuwa ikitangaza mambo ya chama chako hicho.kama utakuwepo hai najuwa utakuwa unafurahia sana.ila kwa sasa hesabu maumivi mkuu
 
Ni kinyaa kitupu... Nimetukana hapa...

Yani Mbowe kapewa sekunde 20..

CCM 10 minutes..

Ngoja kwanza.
mm nataman kutofqtilia habari za siasa kbs ila nashindwa!mm nna hasira na haya yenye mijiguo ya kijan balaa!mbupppu zao zenye mifungus!@mxiew
 
Back
Top Bottom