Waliosema TBCCM hawakukosea.

Waliosema TBCCM hawakukosea.

COARTEM

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2013
Posts
3,617
Reaction score
3,680
Leo niliamua kuangalia TBC kuona watakavyo ripoti ufungaji wa kampeni za Ukonga na Monduli.
1. Monduli: TBC wameripoti taarifa za CCM tu.
2. Ukonga: TBC wameripoti 98% taarifa za CCM na 2% taarifa za CHADEMA.
Kama haitoshi wakaenda kuripoti taarifa za ufungaji kampeni za udiwani za CCM huko Tukuyu Mbeya.
Kwakweli mlioibatiza TBC kuwa ni TBCCM hamkukosea.
 
Leo niliamua kuangalia TBC kuona watakavyo ripoti ufungaji wa kampeni za Ukonga na Monduli.
1. Monduli: TBC wameripoti taarifa za CCM tu.
2. Ukonga: TBC wameripoti 98% taarifa za CCM na 2% taarifa za CHADEMA.
Kama haitoshi wakaenda kuripoti taarifa za ufungaji kampeni za udiwani za CCM huko Tukuyu Mbeya.
Kwakweli mlioibatiza TBC kuwa nivTBCCM hamkukosea.
Hatujakosea kabisa kuwa hilo shirika la utangazaji linaitwa TBCCM
 
Unazani dk. Lyoba aipendi kazi yake..
Mwache alee watoto wake kwa furaha kama baba wa familia.

Nukuu kutoka kwa waziri wa viwanda mwijage.
Eti Televisheni ya taifa...
Waibatize tu kuwa ni Televisheni ya Chama na Serikali
 
Unazani dk. Lyoba aipendi kazi yake..
Mwache alee watoto wake kwa furaha kama baba wa familia.

Nukuu kutoka kwa waziri wa viwanda mwijage.
Anaiaibisha Taaluma yake balaa...

Sasa naanza kuelewa kwanini wamezinyofoa channel za ndani katka ving'amuzi.
 
Mkuu hauko serious...
Yani ndo umekubali leo.!??
Si unajua sisi wengine ni kinatomaso?
Muda mwingi nilikuwa natazama ITV na AZAM TV.
Leo nikasema ngoja niangalie ufungaji kampeni kupitia TBC, mfyuuu aibu tupu
 
Leo niliamua kuangalia TBC kuona watakavyo ripoti ufungaji wa kampeni za Ukonga na Monduli.
1. Monduli: TBC wameripoti taarifa za CCM tu.
2. Ukonga: TBC wameripoti 98% taarifa za CCM na 2% taarifa za CHADEMA.
Kama haitoshi wakaenda kuripoti taarifa za ufungaji kampeni za udiwani za CCM huko Tukuyu Mbeya.
Kwakweli mlioibatiza TBC kuwa nivTBCCM hamkukosea.
Yani hata mimi nimeona... ndio maana sitazami LICHANELI HILI....
 
Leo niliamua kuangalia TBC kuona watakavyo ripoti ufungaji wa kampeni za Ukonga na Monduli.
1. Monduli: TBC wameripoti taarifa za CCM tu.
2. Ukonga: TBC wameripoti 98% taarifa za CCM na 2% taarifa za CHADEMA.
Kama haitoshi wakaenda kuripoti taarifa za ufungaji kampeni za udiwani za CCM huko Tukuyu Mbeya.
Kwakweli mlioibatiza TBC kuwa nivTBCCM hamkukosea.
hahah... na bado.. POLYFIX mwanzo mwisho.. sometimes najuta kuzaliwa TZ
 
Si unajua sisi wengine ni kinatomaso?
Muda mwingi nilikuwa natazama ITV na AZAM TV.
Leo nikasema ngoja niangalie ufungaji kampeni kupitia TBC, mfyuuu aibu tupu
Ni kinyaa kitupu... Nimetukana hapa...

Yani Mbowe kapewa sekunde 20..

CCM 10 minutes..

Ngoja kwanza.
 
Leo niliamua kuangalia TBC kuona watakavyo ripoti ufungaji wa kampeni za Ukonga na Monduli.
1. Monduli: TBC wameripoti taarifa za CCM tu.
2. Ukonga: TBC wameripoti 98% taarifa za CCM na 2% taarifa za CHADEMA.
Kama haitoshi wakaenda kuripoti taarifa za ufungaji kampeni za udiwani za CCM huko Tukuyu Mbeya.
Kwakweli mlioibatiza TBC kuwa nivTBCCM hamkukosea.

Hivyo TBC ni mnyama gani? Sikumbuki kumfahamu mnyama huyu. Fikra zangu zinanielekeza kufikiri kuwa huenda ni mnyama aliyetoweka duniani sasa kabaki dume tu ambalo haliwezi kuzaa peke yake! Hivyo, kulijadili ni kupoteza muda maana hawezi kuongezeka. Mwenyewe anasubiri kufa.
 
Kweli kama TV Ni TBC hero tusiwe na TV na huyu Azam kama Ni cvm atembee mbele make nae kaondoa taarifa ya habari nchi gani hii hakuna Uhuru wa habari wanataka wasikie yanayowapendeza tu
 
Back
Top Bottom