Waliosema Lowassa yuko hoi kitandani...

Mbona unamtetea kuwa ni mzima lakini la kutotoa hata salam kwa Dr Mengi haumsemei?
Kw busara alipaswa atoe neno hata twiter tu.
 
Watakufa wengine watamwacha hivyo hvyo maana hakuna kiongozi aliyetabiriwa kufa na kukashifiwa kama huyu. Akina kibajaji na msukkuma bado aibu zinawaandama na midomo yao michafu na sasa kaamua kurudi kwenye chama chao wafungue tena midomo yao michafu dhidi yake
 
Naona yuko fit, ila age inakimbia sana, ajitajidi kupambana sana na afya yake, siasa sasa hivi atulie kabisa..!!
 
Napenda huyu mama anavyomtunza mumewe. Wababa mjifunze hapa. Mke wa ujanani atakufaa mpaka uzee wako. Nahisi kwenye kuumwa kwake huyu mzee ukimuuliza siri yake kubwa ya kudunda mpaka leo ni mkewe.
 

hahahahahhaha hiyo paragraph ya pili hatari sana..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…