Waliosema Lowassa yuko hoi kitandani...

Naomba tu nilete picha hii ya mh lowassa akiwa mjini zurich ujerumani ili kuwathibitishia wale waliokuwa wanasema yuko kitandani anaumwa yuko hoi mzee wa watu huyo hapo anadunda.
Naona kapona sasa
 
Uliwahi kuona picha za Fidel Castro alivyokuwa ‘anadunda ‘ kuonesha kuwa yupo fiti baada ya tetesi kusema kuwa alikuwa Taaban?

Propaganda za Kijamaa tofauti na za kibepari ni kuwa Wajamaa hudhan wanaolishwa propaganda akili zao haziwezi kufanya tathmini

Hata Baba wa Taifa tuliambiwa ‘He is recovering so fast’ lakin hapo hapo Uwanja wa Taifa ukawa unakarabatiwa kwa kasi ya Ajabu na tukamuona Simba wa vita wa vita karudi mnyonge anaulizwa anaendeleaje anasema yuko vizuri huku anafuta Machozi
 

hayo ni yako.na pengine wewe ndo wale walioleta ile post kuwa hoi kitandani
 
Msiba wa Mengi hakuonekana hata rambi rambi kwa njia ya Salaam alishindwa kutuma!? Au walikuwa na beef na marehemu?

Mkuu kwa hili liko nje ya uwezo wangu.hoja hapa kubwa ilikuwa ni anaumwa yuko hoi kitandani muda wowote hatunaye.Ila ndio picha za jana hizo zikuwa zikitrend mitandaoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…