Sasa hili nalo linahitaji aliyepita JKT?Habari wanajukwaa, katika kufikiria mbinu na namna ya kuboresha na kufanya ujasiriamali kupitia kilimo na ufugaji nimewaza na kupanga kupata vijana waliopitia mafunzo ya JKT (either kwa mujibu wa au wazalendo), walio na utayari, kwa kuanzia shamba dogo (heka 4 ) lililopo wilaya ya mvomero, maeneo ya Dakawa, ambapo tutafanya shughuli in practical na tuta-share faida na hasara , vijana wawili kwa kuanzia wenye Ari na ujuzi (kiasi) wa ufugaji na kilimo cha mbogamboga, wasio waoga wa mazingira, wawe na umri usiopungua miaka 22, lengo ni kuwa kadiri tutakavyokua nao waweze kujitegemea . Jinsia ya kike watapewa kipaumbele
Mawasiliano +255 783030101.
Why JKT?Habari wanajukwaa, katika kufikiria mbinu na namna ya kuboresha na kufanya ujasiriamali kupitia kilimo na ufugaji nimewaza na kupanga kupata vijana waliopitia mafunzo ya JKT (either kwa mujibu wa au wazalendo), walio na utayari, kwa kuanzia shamba dogo (heka 4 ) lililopo wilaya ya mvomero, maeneo ya Dakawa, ambapo tutafanya shughuli in practical na tuta-share faida na hasara , vijana wawili kwa kuanzia wenye Ari na ujuzi (kiasi) wa ufugaji na kilimo cha mbogamboga, wasio waoga wa mazingira, wawe na umri usiopungua miaka 22, lengo ni kuwa kadiri tutakavyokua nao waweze kujitegemea . Jinsia ya kike watapewa kipaumbele
Mawasiliano +255 783030101.
Magufuli aliwajaza ujinga Sana Watanzania.kwakuwa wataenda kupiga kwata shamban!?
Polee kwa kuharibiwa akili na marehemu , Mimi kama muhitaji naona waliopita JKT watanifaa, wewe unayeona halina haja ya aliyepita JKT pia una haki na uwezo kufanya utakalo ona linakufaa.Sasa hili nalo linahitaji aliyepita JKT?
Magufuli alituharibu Sana akili.
Kwa mentality ya aina hii hamna mkulima hapa. Kilimo kinafanywa kwa akili, dedication, elimu na maarifa wala sio kwa nguvu. JKT haihitajiki wala
Rubbish.Polee kwa kuharibiwa akili na marehemu , Mimi kama muhitaji naona waliopita JKT watanifaa, wewe unayeona halina haja ya aliyepita JKT pia una haki na uwezo kufanya utakalo ona linakufaa.
Kituko kingine ni kuwa anatafuta wanawake ili apige machine kirahisi jamaa bwege Sana.Sasa hili nalo linahitaji aliyepita JKT?
Magufuli alituharibu Sana akili.
Angeandika natafuta mademu walio pitia jkt kwa ajiri ya kutupikia na kutoa upwilu angeenda direct kwenye point ingemlaisishia sana siyo tofauti na hapoHapo uliposema jkt kidogo nimekuelewa ila tena kusema unataka wanawake ndo nikahitimisha kuwa unatafuta mademu wa kuwachezea na siyo mkulima
Kilimo kina hitaji nidhamu, ujuzi na uvumilivu ivyo ingekuwa vyema kama ungepata Shamba boy kutoka Mang'ola, chekeleni, Dumila na Nk maana hao wanaweza kukaa shambani ata miezi sita ajaenda mjini lkn hawa wengine ukitoka tuu nae anaenda center kuangalia mpira au kufanya anasa au tafuta Mzee wa miaka 50+ na kuendelea maana huyu ana future tena jua limezama ivyo atafanya kazi yako kwa umakini sana kama utamthamini lkn kwa vijana inabidi uwe makini maana malengo kama yote ivyo muda wowote anaweza kuondokaHabari wanajukwaa, katika kufikiria mbinu na namna ya kuboresha na kufanya ujasiriamali kupitia kilimo na ufugaji nimewaza na kupanga kupata vijana waliopitia mafunzo ya JKT (either kwa mujibu wa au wazalendo), walio na utayari, kwa kuanzia shamba dogo (heka 4 ) lililopo wilaya ya Mvomero, maeneo ya Dakawa, ambapo tutafanya shughuli in practical na tuta-share faida na hasara.
Vijana wawili kwa kuanzia wenye Ari na ujuzi (kiasi) wa ufugaji na kilimo cha mbogamboga, wasio waoga wa mazingira, wawe na umri usiopungua miaka 22, lengo ni kuwa kadiri tutakavyokuwa nao waweze kujitegemea. Jinsia ya kike watapewa kipaumbele
Mawasiliano +255 783030101.
Jamaa muhuni wa kizamani Sana huyuAngeandika natafuta mademu walio pitia jkt kwa ajiri ya kutupikia na kutoa upwilu angeenda direct kwenye point ingemlaisishia sana siyo tofauti na hapo