Waliopanda madaraja sekta ya elimu

Waliopanda madaraja sekta ya elimu

Halmashauri Nyingi Bado, Huku Mtwara H/shauri Zote Bado Tunazeekea Na Kustaafia Madaraja Tuloajiriwa Nayo, Hasira Zote Nahamishia Kwenye Kisanduku Cha Kura Octoba, Ukawa Hata Wangesimamisha Jiwe Nawapa.

Pole sana!
 
Kisarawe bado yaani ni balaa,ukiuliza mabosi hawajui hata wanachokiongea ni figisu figisu tu.
 
Ndugu wanajamvi! Napenda kuulizia kama kuna watumishi (walimu sekondari) walioajiriwa 2011,na wanastahili kupanda madaraja na hawajapanda?.Je kuna watumishi ambao wamepandishwa madaraja kwa wale waajiliwa wa 2011?

sisi geita wamepanda wote wa 2011 hata sisi wa 2012 tumepandishwa
 
Back
Top Bottom