Waliooa, naombeni msaada

tatzo ana mimba mkuu na ina miez7..nkimuacha sitolaumiw
 
na sikuwahi kuchepuka..coz nafight kutafta hela knowing that wife ndo ataniliwaza nkiwa nmechoka...ila tofauti kbs mkuu..wakuu ishu iko siriaz inaniumiza sn.
 
mkuu kabla y ndoa kna kauli aliisema nkaihis bi utani ila naikumbk mpk leo.. "YAANI KUSEX NILIVYOKUA SIPENDI"
asikudanganye awaye kiumbe yoyote mkuu, hakuna mwanamke hapendi sex, ila tunachukia kufanya na watu tusio na hisia nao, Mimi mwenyewe nikiwa sikupendi nitakuambia nachukia sex mno, ila kiukhalisia nikiwa na mtu ninayempenda hata nikimtazama tu ninalowa...!!
 
Basi ngj nifanye tu maamuz magumu..maana kila nkikaa na mshikaj wng ananihadithiahaga mke wake anamchosha kila siku anataka sex mpk mjamaa anamkimbia..yaan nawaza why me!!!na sikuwah Ripoti kwa mshenga bado..
 
Uongo mtupu jiongelee wewe tu
 
na sikuwahi kuchepuka..coz nafight kutafta hela knowing that wife ndo ataniliwaza nkiwa nmechoka...ila tofauti kbs mkuu..wakuu ishu iko siriaz inaniumiza sn.
Kwa sababu umesema umezungumza naye habadiliki basi ushauri wangu mrudishe kwao mpaka atakapobadilika, unafikiri mtoto mtapata kwa hiyo mara tatu kwa mwaka? Yenyewe unapewa kwa kususiwa? Kah!
 
So
Basi ngj nifanye tu maamuz magumu..maana kila nkikaa na mshikaj wng ananihadithiahaga mke wake anamchosha kila siku anataka sex mpk mjamaa anamkimbia..yaan nawaza why me!!!na sikuwah Ripoti kwa mshenga bado..
Unataka mfukuza kisa ngono

Ukute mwenzio Ni km Mimi ndo maana nimekwambia unipatie Mimi huyo Libido hipo chini sana
 

Ushauri mzuri. ila ww Carleen mkono wako unafaa kabisa kuchukua sheria mkononi
 
Tombaneni kabla ya ndoa ili muwe na uhakika mnaridhishana.
Huyo mke ulilazimishwa kumuoa?
Unasumbua watu bure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…