both teams to score-YES
JF-Expert Member
- Nov 11, 2022
- 988
- 1,882
hapana nlimjaza mimba..ndo ikaamuliwa[emoji3][emoji3][emoji3]nyiiie heee milichaguliwa? Mlilazimishana?
Nawaza tu mimi huyu ninavyopenda mjegeje [emoji28][emoji28]
Subiti wenye ndoa zao waje wakushauri
Hapa ndo shida ilipoanziahapana nlimjaza mimba..ndo ikaamuliwa
tuoane..na mimba yenyew ilikua siku nlimfosi sana tusex..
Alitaka harusi, harusi mlisha fanya na imepita. Mambo ya unyumba na ndoa yeye sio chaguo lake, yeye alitaka harusi tuNimebahatika kupata mke na nina muda wa miez 9 sasa..Cha ajabu toka ndoa mpk leo mke hajawahi kua na hisia namie..Na miezi hyo 9 tumesex chini ya mara 3 na zote kwa kubembeleza..Na nisipoomba sex yeye hana haja ya kutamani tendo la ndoa mpaka nianze mie..na hata nikianza..sioni ushirikiano..
Wakuu niko dilemma naombeni mawazo yenu.
Mwanamke asie kua na hisia na wewe ni wakazi gani? Mshauri arudi kwao kwa mda ili ajitafakari umpyaNimebahatika kupata mke na nina muda wa miez 9 sasa..Cha ajabu toka ndoa mpk leo mke hajawahi kua na hisia namie..Na miezi hyo 9 tumesex chini ya mara 3 na zote kwa kubembeleza..Na nisipoomba sex yeye hana haja ya kutamani tendo la ndoa mpaka nianze mie..na hata nikianza..sioni ushirikiano..
Wakuu niko dilemma naombeni mawazo yenu.
mkuu kabla y ndoa kna kauli aliisema nkaihis bi utani ila naikumbk mpk leo.. "YAANI KUSEX NILIVYOKUA SIPENDI"Kama ni ndoa kwajili ya mimba basi ww tafta mke mwingine huyo akizaa mpe talaka ww fanya mambo yako hutakaa uenjoy ndoa yako kwasababu haumfurahishi kwenye tendo na hawez kukuambia
π π π π basi tafuta umpendae huyo muendelee kulea vinginevyo utawehukahapana nlimjaza mimba..ndo ikaamuliwa
tuoane..na mimba yenyew ilikua siku nlimfosi sana tusex.
hahahaha, pole sana mkuuYAANI KUSEX NILIVYOKUA SIPENDI
Mkuu hakuwah nifanyia hayo yote...mbaya zaid hakuwahi sema hata amenimiss anahitaj penzi lang..na nkiondoka kazini kurud saa 11 jion..wala kunijulia hali nkiwa kazin hakuna..na INSHORT nsipomuambia namhitaj kimapenz hata mwaka..yeye hana habari..SIJUI NMEOLEA NINI MZARAMO YLE.Mkeo anatakiwa yy ndio ajenge mazingira ya ww kumuweka ukuni. Anatakiwa jioni ashapika katafuta movie nzuri ya kuangalia au kashaangalia ratiba ya dstv anajua muda fulani kutakua na kipindi kizuri anajiandaa ukitoka kazini au mishemishe anakuandaa vizur kwa kukupa maji uoge kachai kidogo alaf mnakula mkimaliza kashaweka mambo safi mnakaa sebuleni mnachek vipindi hapa na pale alafu anakusogeza chumbani ambapo atakua kaandaa kulingana na siku yenyewe vi masaji vya hapa na pale alafu anakupa nyama. Sasa kama hawez hayo mfundishe na kama hataki piga chini zipo pisi kibao zinattafuta watu wa kuwafanyia hayo. Alafu pia unauhakika hiyo mimba ni yako au unaharibiwa ramani ya maisha yako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu hivi ni sahihi kila.siku kumuanza mke kwa sex?yaani usipomuanza basi hafanyi chochote.Ilikuwaje mpaka mkaona??? mliishi uchumba kwa muda gani?? je huwa unamsugua vya kutosha au ndo unampaka shombo mtoto wa watu anabaki na shombo... kama huwa unamkula vizuri toka uchumba ila leo anakubania shoo jua ni mbinu ya kipumbavu inayotumiwa na wanawake wengi kutaka kumcontrol mwanaume so wew tafuta mcheopuko yani kamwe usije kumuanza yeye alafu baada ya miezi 6 mpe talakaaa maana kuna anaemkulaa huko nje na hio ndoa yenu ni batili.
Umejaribu kuzungumza naye ndugu yangu? Mfanye mkeo rafiki kwanza kabla haujamfanya mke sijui nimeeleweka?? Miez tisa mara tatu?? Mimi nikajua Kwa wiki?? Halafu ndoa ndio kwanza changa hata mtoto hana akipata mtoto je?? Zungumza naye pengine ana tatizo hata kama tuseme labda anachepuka asingekuwa mjinga namna hiyo Ili Hali ndoa changa ninawaza pengine ana tatizo la kisaikolojia.Nimebahatika kupata mke na nina muda wa miez 9 sasa..Cha ajabu toka ndoa mpk leo mke hajawahi kua na hisia namie..Na miezi hyo 9 tumesex chini ya mara 3 na zote kwa kubembeleza..Na nisipoomba sex yeye hana haja ya kutamani tendo la ndoa mpaka nianze mie..na hata nikianza..sioni ushirikiano..
Wakuu niko dilemma naombeni mawazo yenu.
ππππππ Umeoa mzaramo na unaonekana una roho ya kulia lia alooo nakushauri kama mwanaume mwenzako tafta mke unanielewa sjui tafta mke huyo hana mpango na ww na wazaramo kama kawaida kukigawa hata kwa mpiga ngoma yeye kawaida utakuja lia ww nakuona na akili yako kama ushashikwa flani hivi vaa uanaume temana na hilo jitu au rudisha kwao waambie tatizo wamfunze wakishindwa piga chini au kama dini inaruhusu na mfuki umeshiba oa mke wa pili atakayekupa mahaba na furaha ndani kwakoMkuu hakuwah nifanyia hayo yote...mbaya zaid hakuwahi sema hata amenimiss anahitaj penzi lang..na nkiondoka kazini kurud saa 11 jion..wala kunijulia hali nkiwa kazin hakuna..na INSHORT nsipomuambia namhitaj kimapenz hata mwaka..yeye hana habari..SIJUI NMEOLEA NINI MZARAMO YLE.
Mkuu nimekaa nae sana zaidi ya mara 20 kumuambia tena in a very friendly manner..anajibu atabadlka..lakn sioni dalili yyte .kitandani wala tabia...Hlf kuhsu kua muumin wa uliyoyasema hapanaUmejaribu kuzungumza naye ndugu yangu? Mfanye mkeo rafiki kwanza kabla haujamfanya mke sijui nimeeleweka?? Miez tisa mara tatu?? Mimi nikajua Kwa wiki?? Halafu ndoa ndio kwanza changa hata mtoto hana akipata mtoto je?? Zungumza naye pengine ana tatizo hata kama tuseme labda anachepuka asingekuwa mjinga namna hiyo Ili Hali ndoa changa ninawaza pengine ana tatizo la kisaikolojia.
Labda nikuulize swali na wewe kwa miez yote tisa umeishije?? Au umejiunga kwenye kile chama?