Walionunua IPTL wafunguka


Kwenye point ya kwanza tu, yaani mi umeshanichanganya tayari, huku kwingine ndo ntaelewa kweli?

Mimi nuinachojua ni kwamba sasa hivi CCM wanatafuta hela za kuhonga kwenye uchaguzi mkuu 2015, na ninakubaliana na wale wanaosema, hizo pesa zinazostukiwa ni 10% ya pesa zote za serikali zinazokwapuliwa na maCCM! Nchi imekwisha hii bora tuache kulipa kodi mpaka uchaguzi ujao upite.
 
Dawa ni kuiondoa CCM hata kwa siku moja hawa wezi watakufa kwa hofu, then tuanze upya......
 
Kesi ipi ndugu?
Mbona kafulila alisema Tanesco waliandika Barua ya Kujitoa na kusema wao kesi basi(Kumbuka ni kesi ya kudai mgao wao kutokana na capacity charge)
...we unawasilikiliza tanesco??wakati wao (ma boss wao)wameshirikiana na GoT kuchota hizo hela BoT..kesi nayosema imefunguliwa na benki ya Standard Chatered Hong Kong (SCHK)kule UK.....wakipinga hela kuchotwa BOT na pia wakitaka walipwe hela zao walizowapa GoT kwa ajili ya IPTL....kesi iko ndugu kama hujui.....na tanesco nao wameshtakiwa kwa kubariki uchotwaji wa hela hizi kinyume na makubaliano ya awali....na serikali ya TZ wameshtakiwa kwa kukubali kuachia fedha ichotwe BoT wakai wao ndio walikuwa waangalizi wa account ya escrow.....

Kwa ujumla kesi hii TZ na wadau wake watapigwa chini.....hapo ndipo wataanzania mtaamka...kujua mnavyoliwa kwa kuwashabaikia watawala majizi.....Kwenye kesi hiyo wameshtakiwa hata PAP .....kama wadau waliolipwa mzigo wote wa escrow kisanii.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…