figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 27,860
- 63,435
Ah wapi tuelezwe zilivyochotwa tu!! na akina Ag walihusika wapi walibeba ngapi. Huyo jambazi wa goldenberg iliyoifilisi kenya ndiye aliyenunua!!? TZ majanga tu!! Na Standard chartered Hongkong wanadai nini kwenye kesi yao!! ?? msituchemshe majambazi nyie!!
Katibu na Mshauri Mkuu wa Sheria wa Kampuni ya Kufua Umeme ya Independent Power Tanzania Ltd (IPTL) na Pan Africa Power Solutions (T) Ltd, Joseph Mwakandege akizungumza na waandishi wa habari kuhusu sakata la ununuzi wa IPTL. Kushoto ni Mwenyekiti Mtendaji wa Kampuni ya IPTL na PAP, Harbinder Singh Sethi.
Wiki iliyopita gazeti hili liliandika kwamba fedha hizo zilitolewa baada ya Serikali kuamua kumaliza shauri hilo na hapo ndipo fedha hizo zilipochukuliwa katika akaunti hiyo na PAP.
Hata hivyo, pamoja na Seth kukubali kuchukua fedha hizo, alisema fedha zilizokuwamo ni Sh150 bilioni, huku akitetea hatua hiyo na ununuzi wa IPTL kwamba siyo kinyume cha sheria.
Kabla ya kuuzwa kwa PAP, IPTL ilikuwa inamilikiwa kwa ubia kati ya Mechmar Corporation ya Malaysia (asilimia 70) na VIP Engineering and Marketing Company Limited ya Tanzania iliyokuwa na asilimia 30.
PAP ni kampuni ya tatu katika mgogoro huo kujitokeza na kutoa ufafanuzi tangu habari zake zilipoanza kuandikwa. Kampuni ya kwanza ilikuwa ni VIP Engineering ya James Rugemalira na baadaye akaibuka Mwanasheria wa IPTL na wote walitetea mauzo hayo.
PAP ilivyonunua IPTL
Wakili wa PAP, Joseph Mwakandege alisema, kwa miaka mitano ya ITPL iliendeshwa bila kuwapo kwa mgogoro, lakini baadaye iliibuka mivutano miongoni mwa wanahisailiyosababisha kufunguliwa kwa akaunti ya Escrow.
Mwakandege alisema 2010, Sethi aliwasilisha nyaraka mahakamani kuonyesha kwamba alipewa mamlaka ya kusimamia mali zote za Mechmar hapa nchini.
Alisema, baadaye Sethi alinunua hisa zote ambazo awali Mechmar alikuwa ameuza kwa Piperlink na kuzihamishia PAP.
Kwa mujibu wa wakili huyo, Sethi baadaye alinunua asilimia 30 zilizosalia, na tayari mmiliki wa VIP, Rugemalira amekwishakiri kupokea Dola za Marekani 75 milioni (Sh120 bilioni) alizoziita kuwa ni fedha za ugoro.
Alisema baada ya mauzo hayo, VIP ilikwenda mahakamani na kuomba kesi zote zinazohusu kampuni hiyo na Mechmar zifutwe.
Septemba 5, mwaka jana, mahakama iliamua kufuta kesi hizo, hivyo PAP akapata haki ya kumiliki mali zote za IPTL, ikiwa ni pamoja na fedha zilizokuwa katika akaunti ya Escrow.
Mwakandege alisema baada ya uamuzi huo, PAP ilikubali kulipa madeni yote ya IPTL na ufilisi wa muda uliokuwa umewekwa kwa kampuni hiyo uliondolewa.
"Kutokana na hali hiyo, ilibidi kusainiwa mkataba kati ya IPTL na Serikali kupitia Wizara ya Nishati na Madini…Ifahamike kwamba akaunti ya Escrow ilikuwa mali ya wanahisa wa IPTL, haikuwa na fedha za walipakodi wala fedha za Benki ya Standard Chartered ya Hong Kong (mkopeshaji wa IPTL)," alisema Mwakandege.
Alifafanua kuwa, Serikali iliitaka PAP kusaini makubaliano kwamba iwapo watatokea wadai wapya wa IPTL itawalipa. Alisema baada ya hapo Serikali iliandika barua kwa BoT kuitaka iruhusu fedha hizo zilipwe kwa PAP.
Chanzo;Mwananchi
Kuwa na watumishi wasio makini na kazi zao ndo chanzo cha migogoro na kesi kesi.

Kutokana na hali hiyo, ilibidi kusainiwa mkataba kati ya IPTL na Serikali kupitia Wizara ya Nishati na Madini Ifahamike kwamba akaunti ya Escrow ilikuwa mali ya wanahisa wa IPTL, haikuwa na fedha za walipakodi wala fedha za Benki ya Standard Chartered ya Hong Kong (mkopeshaji wa IPTL), alisema Mwakandege.
Alifafanua kuwa, Serikali iliitaka PAP kusaini makubaliano kwamba iwapo watatokea wadai wapya wa IPTL itawalipa. Alisema baada ya hapo Serikali iliandika barua kwa BoT kuitaka iruhusu fedha hizo zilipwe kwa PAP.
Chanzo;Mwananchi
Hawa jamaa wanajaribu kutumia lugha za kibiashara kuuchanganya na kuudanganya umma.Alisema baada ya mauzo hayo, VIP ilikwenda mahakamani na kuomba kesi zote zinazohusu kampuni hiyo na Mechmar zifutwe.
Septemba 5, mwaka jana, mahakama iliamua kufuta kesi hizo, hivyo PAP akapata haki ya kumiliki mali zote za IPTL, ikiwa ni pamoja na fedha zilizokuwa katika akaunti ya Escrow.
Mwakandege alisema baada ya uamuzi huo, PAP ilikubali kulipa madeni yote ya IPTL na ufilisi wa muda uliokuwa umewekwa kwa kampuni hiyo uliondolewa.
Kutokana na hali hiyo, ilibidi kusainiwa mkataba kati ya IPTL na Serikali kupitia Wizara ya Nishati na Madini Ifahamike kwamba akaunti ya Escrow ilikuwa mali ya wanahisa wa IPTL, haikuwa na fedha za walipakodi wala fedha za Benki ya Standard Chartered ya Hong Kong (mkopeshaji wa IPTL), alisema Mwakandege.
Alisema baada ya hapo Serikali iliandika barua kwa BoT kuitaka iruhusu fedha hizo zilipwe kwa PAP.
Chanzo;Mwananchi
....tunasubiria hukumu ya kesi ya UK ...pale ambapo majizi haya yatakapoambiwa walipe hela za escrow walizoiba BOT wakishirikiana na serikali ya TZ......ni suala la mda tu.....
Katibu na Mshauri Mkuu wa Sheria wa Kampuni ya Kufua Umeme ya Independent Power Tanzania Ltd (IPTL) na Pan Africa Power Solutions (T) Ltd, Joseph Mwakandege akizungumza na waandishi wa habari kuhusu sakata la ununuzi wa IPTL. Kushoto ni Mwenyekiti Mtendaji wa Kampuni ya IPTL na PAP, Harbinder Singh Sethi.
Wiki iliyopita gazeti hili liliandika kwamba fedha hizo zilitolewa baada ya Serikali kuamua kumaliza shauri hilo na hapo ndipo fedha hizo zilipochukuliwa katika akaunti hiyo na PAP.
Hata hivyo, pamoja na Seth kukubali kuchukua fedha hizo, alisema fedha zilizokuwamo ni Sh150 bilioni, huku akitetea hatua hiyo na ununuzi wa IPTL kwamba siyo kinyume cha sheria.
Kabla ya kuuzwa kwa PAP, IPTL ilikuwa inamilikiwa kwa ubia kati ya Mechmar Corporation ya Malaysia (asilimia 70) na VIP Engineering and Marketing Company Limited ya Tanzania iliyokuwa na asilimia 30.
PAP ni kampuni ya tatu katika mgogoro huo kujitokeza na kutoa ufafanuzi tangu habari zake zilipoanza kuandikwa. Kampuni ya kwanza ilikuwa ni VIP Engineering ya James Rugemalira na baadaye akaibuka Mwanasheria wa IPTL na wote walitetea mauzo hayo.
PAP ilivyonunua IPTL
Wakili wa PAP, Joseph Mwakandege alisema, kwa miaka mitano ya ITPL iliendeshwa bila kuwapo kwa mgogoro, lakini baadaye iliibuka mivutano miongoni mwa wanahisailiyosababisha kufunguliwa kwa akaunti ya Escrow.
Mwakandege alisema 2010, Sethi aliwasilisha nyaraka mahakamani kuonyesha kwamba alipewa mamlaka ya kusimamia mali zote za Mechmar hapa nchini.
Alisema, baadaye Sethi alinunua hisa zote ambazo awali Mechmar alikuwa ameuza kwa Piperlink na kuzihamishia PAP.
Kwa mujibu wa wakili huyo, Sethi baadaye alinunua asilimia 30 zilizosalia, na tayari mmiliki wa VIP, Rugemalira amekwishakiri kupokea Dola za Marekani 75 milioni (Sh120 bilioni) alizoziita kuwa ni fedha za ugoro.
Alisema baada ya mauzo hayo, VIP ilikwenda mahakamani na kuomba kesi zote zinazohusu kampuni hiyo na Mechmar zifutwe.
Septemba 5, mwaka jana, mahakama iliamua kufuta kesi hizo, hivyo PAP akapata haki ya kumiliki mali zote za IPTL, ikiwa ni pamoja na fedha zilizokuwa katika akaunti ya Escrow.
Mwakandege alisema baada ya uamuzi huo, PAP ilikubali kulipa madeni yote ya IPTL na ufilisi wa muda uliokuwa umewekwa kwa kampuni hiyo uliondolewa.
"Kutokana na hali hiyo, ilibidi kusainiwa mkataba kati ya IPTL na Serikali kupitia Wizara ya Nishati na Madini…Ifahamike kwamba akaunti ya Escrow ilikuwa mali ya wanahisa wa IPTL, haikuwa na fedha za walipakodi wala fedha za Benki ya Standard Chartered ya Hong Kong (mkopeshaji wa IPTL)," alisema Mwakandege.
Alifafanua kuwa, Serikali iliitaka PAP kusaini makubaliano kwamba iwapo watatokea wadai wapya wa IPTL itawalipa. Alisema baada ya hapo Serikali iliandika barua kwa BoT kuitaka iruhusu fedha hizo zilipwe kwa PAP.
Chanzo;Mwananchi
Hapo kwenye nyekundu ndio kwenye mushikiri. Escrow account haikuwa mali ya wenye hisa wa IPTL. Escrow aacount ilifunguliwa kutokana na mgogoro wa Tanesco na IPTL hivyo hiyo account ilikuwa ya TANESCO na IPTL!!! Haikuwa halali kwa fedha zote kupewa huyo aliyenunua IPTL kwani Tanesco alipaswa kupata mgao kwani alikuwa mbia hivyo a workable formula ilitakiwa itafutwe ili Tanesco nao walipwe!! Hapa ndipo watendaji wa serikali [ wakina Werema , Maswi , Muhongo Ndullu, Likwelile etc] walipoiingia na kuiba huo mgao wa Tanesco na kuupeleka wanakojua na ndio maana wamekuwa wakali kwani wamebanwa.
Hivi huyu jamaa ni mtanzania muwekezaji au Mgeni? miaHawa jamaa wanajaribu kutumia lugha za kibiashara kuuchanganya na kuudanganya umma.
Kwanza, kesi zilizofutwa ni kati ya VIP Eng. na IPTL wala si TANESCO na IPTL.
Pili,fedha za Escrow zingeweza kuwa ama za IPTL zote au za TANESCO zote au kiasi fulani IPTL na zinazobaki
za TANESCO pale tu shauri lililokuwa kwenye usuluhishi lingeachwa kumalizika.
Kwa mukhtadha huo TANESCO kupitia Wizara ya Nishati na Madini iliamua kwa makusudi kuachana na
haki ya TANESCO kudai kilicho chake.Kwa mujibu wa mikataba ya IPTL na TANESCO, 'capacity charges'
zilitakiwa zikokotolewe kutokana na mtaji huru wa IPTL lakini wamiliki wa mwanzo wa IPTL waligeuza
mtaji wa mikopo kuwa ndiyo mtaji huru. Hii ilifanya 'capacity charges' kuwa ghali kwani kuna mazingira ya riba
ndani yake. Huu ndiyo ulikuwa na bado unatakiwa kuwa msingi wa kesi ya TANESCO na IPTL.
Mali za IPTL zilitakiwa kugharamiwa(Financed by) na 30% mtaji huru(Equity) na 70% mikopo(Liabilities).
Kumbuka kuwa (Assets = Equity + Liabilities). Wao (wamiliki) wakageuza kiasi fulani cha ile
70% ya mtaji wa mikopo kuwa ndiyo mtaji huru (Equity)
Kwa hiyo ilikuwa sawa kusema IPTL ilianzishwa kwa mkopo (bila mwekezaji kuwekeza senti yake binafsi)
kinyume na mkataba wa makubaliano ya kuanzishwa kwake.
Tatu, TANESCO ni mali ya umma hivyo fedha za TANESCO zikifujwa ni mali ya umma zimefujwa.
Hivyo IPTL bado ni kampuni tata na malipo yaliyofanyika hayakutakiwa kufanyika kabla suala la
'capacity charges' kuamuliwa vinginevyo tumeamua kuibiwa kwa muda mrefu ujao..
....tunasubiria hukumu ya kesi ya UK ...pale ambapo majizi haya yatakapoambiwa walipe hela za escrow walizoiba BOT wakishirikiana na serikali ya TZ......ni suala la mda tu.....
Kesi ipi ndugu?
Mbona kafulila alisema Tanesco waliandika Barua ya Kujitoa na kusema wao kesi basi(Kumbuka ni kesi ya kudai mgao wao kutokana na capacity charge)
Kwa hiyo ndio tumeliwa?
Ndugu tupo pamoja mimi na wewe na hili ndilo kafulila amekuwa akisisitiza na kiibaya zaidi, tanesco waliandika barua kwenda mahakani kufuta kesi ya kudai hizi hela.