Waliomzomea Nape na Kinana mbaroni

Waliomzomea Nape na Kinana mbaroni

Lai Otieno

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2013
Posts
311
Reaction score
90
VIJANA 27 wanaosaadikiwa ni kutoka vyama vya upinzani mjini Bunda wapo mikononi mwa polisi kufuatia Amri ya viongozi kuwa wakamatwe kwa kukosesha amani mkutano wa C C M.

OCD kusindikiza msafara wa Kinana Butiama hadi akirudi ndo tutawapa Up date.


UP DATE vijana waliokamatwa wamechiwa huru na wataitwa kama watahitajika,hii ni baada ya uongozi wa CHADEMA Bunda kuwatoa,baadhi ya vijana ni Dickson Manyama na Masanja hawa ni vijana a UVCCM ambao hawakuwa wanaafiki matusi ya Nape na watajiunga na CHADEMA.
 
Sasa kama mkutano ni wa wanaCCM, Hawa vijana wametoka wapi kwenye mkutano usiowahusu, au wametumwa na Babu kutimiza ahadi zake kabambe na makini kuwa nchi haita tawalikaa??
 
Always Think great, utabalansishaje dhaifi na strong party ..km CHADEMA?
 
OCD ni mwajiriwa wa serikali iweje asindikize wanasiasa? CCM wana green guard kwanini wasifanye kazi hiyo? Hivyo inamaana huduma mihimu ambazo OCD ilikuwa azitoe kama moja ya wajibu wake zimesimama. Akwatwe mshahara kwa kutowajibika kituoni kwake.
 
Kukamata wanaozomea hakuondoi sababu za kuzomea. Ni busara kutafuta chanzo cha zomea zomea hizo badala ya kuwakamata.
 
VIJANA 27 wanaosaadikiwa ni kutoka vyama vya upinzani mjini Bunda wapo mikononi mwa polisi kufuatia Amri ya viongozi kuwa wakamatwe kwa kukosesha amani mkutano wa C C M
OCD kusindikiza msafara wa Kinana Butiama hadi akirudi ndo tutawapa Up date

Akufukuzae hakuambii toka.

Sasa wakiwakamata ndio watawapenda?

Kwanza wanasababisha hata ndugu na wazazi wa waliokamatwa waichukie ccm
 
VIJANA 27 wanaosaadikiwa ni kutoka vyama vya upinzani mjini Bunda wapo mikononi mwa polisi kufuatia Amri ya viongozi kuwa wakamatwe kwa kukosesha amani mkutano wa C C M
OCD kusindikiza msafara wa Kinana Butiama hadi akirudi ndo tutawapa Up date

Akufukuzae hakuambii toka.

Sasa wakiwakamata ndio watawapenda?

Kwanza wanasababisha hata ndugu na wazazi wa waliokamatwa waichukie ccm
 
Hakuna mapenzi ya kulazimishana siku hizi,

Polisi ni kati ya idara ambayo inachukua watu waliopata madaraja ya mwisho ambayo ni four na zero na wanaofoji vyeti,hivyo mule hamna mwenye weledi,wanafanya kazi kwa kukurupuka tu,wanatumika na ccm sababu hamna sababu ya kuwakamata hao vijana

Je wangekuwa ni viongozi wa Chadema au Cuf au Nccr ndio wamezomewa wangewakamata?

Wanatumika kadume
 
Sasa kama mkutano ni wa wanaccm, Hawa vijana wametoka wapi kwenye mkutano usiowahusu, au wametumwa na Babu kutimiza ahadi zake kabambe na makini kuwa nchi haita tawalikaa??

Tulia upakatwe vizuri...
 
Wamewaonea hao
Kama wanajiamini waje wanikamate na mimi
NAPE ooooohooooooooooooo..................ooooooooohhhhhhh
KINANA ooooohooooooo..................hooooooooooooooooooo
 
Yeye Nape kutokumjua babake, isiwe sababu yake yeye kutaka Catherine Magige naye azae naye mtoto asiyemjua babake. Field Marshal Mwigulu anakutizama kwa macho ya kininja. Chezeya mafia wa Lowassa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom