dexterous
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 2,037
- 3,145
Daaah yaan hata mwezi haujapita majambaz yashakamatwa nina mashaka na ushaid au vigezo vilivyotumika maana nnavyojua uchunguz kama huo mpaka uje ukamilike sio chini ya mwaka au miaka pengine labda tuwe na technolojia kubwa lakin sio kirahisi ivo kma anavyodai kova pia ni vigumu majambaz ambayo yanajua kuwa yamefanya uhalifu mkubwa kama huo yaendelee kukaa sehemu moja na wasijifiche...Hongera kwa Jeshi la Polisi kwa kuwajibika