Kuna mchezo hawa waganga wanaufanya, wanakwambia unaweka hela kwenye sanduku lao la uganga wanapiga sangoma kisha baada ya siku 3 hela zina double, so kama umeweka mil 10 basi baada ya siku tatu unakwenda kuchukua mil 20.
Wengi wamelizwa wakimwemo waalimu wastaafu nk.. hawa ni matapeli na wapo maeneo ya vijijini zaidi ambako elimu ya kujitambua haijafika vilivyo.
Hawa wawe mfano.