Waliomuua kijana south beach resort-kigamboni wafutiwa mashitaka!

BONGOLALA

JF-Expert Member
Sep 14, 2009
16,507
11,883
Mwendesha mashtaka mkuu ezekiel feleshi amewasilisha hati ya kufuta kesi iliyokua ikiwakabili watu 2 akiwemo meneja muhindi wa hotel ya SBR.

Wana jf ina maana yule kijana kauliwa na nani?

Uchunguzi kesi ya mauji umefanywa haraka haraka kulikoni?

Hapa harufu ya rushwa inanukia
 
Mwendesha mashtaka mkuu ezekiel feleshi amewasilisha hati ya kufuta kesi iliyokua ikiwakabili watu 2 akiwemo meneja muhindi wa hotel ya SBR.

Wana jf ina maana yule kijana kauliwa na nani?

Uchunguzi kesi ya mauji umefanywa haraka haraka kulikoni?

Hapa harufu ya rushwa inanukia

Sheria za bongo ukifungwa maanake huna pesa
 
Inabidi wanahabari na watetezi wa haki za binadamu walipigie kelele suala hili la wazawa kukosa au kuminywa haki zao na wenye pesa.
 
Kuna haja ya ule mpango wa wanakigamboni uendelee!kama haki imeshindwa kutendeka!
 
naomba ukabatizwe upya hilo jina la 'Bongolala' uwapatie hao waliowaachia wauaji maana wewe inaonekana tayari una uchungu na nchi hhi.
Wakati wa kulalamika umeisha jamani, tuchuke hatua kabla na sisi zamu yetu ya kuuwawa haijafika!
Mwendesha mashtaka mkuu ezekiel feleshi amewasilisha hati ya kufuta kesi iliyokua ikiwakabili watu 2 akiwemo meneja muhindi wa hotel ya SBR.

Wana jf ina maana yule kijana kauliwa na nani?

Uchunguzi kesi ya mauji umefanywa haraka haraka kulikoni?

Hapa harufu ya rushwa inanukia
 
Muendesha mashtaka wa umma (DPP) amewaachia huru wale Wahindi waliohusika na mauaji ya kijana Lila Hussein aliyetuhumiwa kuzamia disco kwenye hotel ya South Beach Resort Hotel huko maeneo ya Kigambini bila kulipa kiingilio. Katika kesi hiyo washitakiwa wote waliokuwa wamekamatwa kuhusiana na kesi hiyo Salim Nathoo ambaye ni Mkurugenzi Mtendaji, na maofisa wengine wa hotel Bw. Bhushan Mathkar ambaye ni Meneja wa Hotel hiyo na Bw. John Mwangiombo aambaye ni Mfanyakazi wa Hotel hiyo pia wameachiwa huru.

Kama kawaida mauaji ya kijana mwenyetu mikononi mwa wageni yamemalizwa bila mtu yoyote kuwajibika. Je serikali inataka hadi wananchi wachoke na kuingia mitaani ndipo itende haki kwa wazalendo?

Daily News | DPP drops murder charges against hoteliers
 
muendesha mashtaka wa umma (dpp) amewaachia huru wale wahindi waliohusika na mauaji ya kijana lila hussein aliyetuhumiwa kuzamia disco kwenye hotel ya south beach resort hotel huko maeneo ya kigambini bila kulipa kiingilio. Katika kesi hiyo washitakiwa wote waliokuwa wamekamatwa kuhusiana na kesi hiyo salim nathoo ambaye ni mkurugenzi mtendaji, na maofisa wengine wa hotel bw. Bhushan mathkar ambaye ni meneja wa hotel hiyo na bw. John mwangiombo aambaye ni mfanyakazi wa hotel hiyo pia wameachiwa huru.

Kama kawaida mauaji ya kijana mwenyetu mikononi mwa wageni yamemalizwa bila mtu yoyote kuwajibika. Je serikali inataka hadi wananchi wachoke na kuingia mitaani ndipo itende haki kwa wazalendo?

daily news | dpp drops murder charges against hoteliers




sishangazwi na sheria na viongozi wa nchi hii, wewe umemsikia waziri na viongozi woote wa jeshi la polisi wakijieleza na kujibaraguza kwa kifo cha mchina mmoja ila watz wanaouwa na majambazi kila siku wao ni punda .....kule kigoma , kibondo bunduki zinauzwa kama jembe
 
bora wanainchi wange-wagaddafi tu hao maana wkt mwingine hizi sheria haziko sawia endapo mwendesha mashtaka amepata mlungula
 
hakuna haki Tanzania, aggrrrrrrrrrrrrrrrrrr, Ila damu ya mtu aiendi bure,, kwani ukiua kwa upanga nawe utakufa kwa upanga
 
haki hamna hii nchi. hao wahindi labda waondoke, otherwise watafutwe nao waipate fresh
 
Asante Kuyungu kwa habari hizi njema. Ushauri wangu ni kuwatafuta wazee wa Gezaulole, mahali ambapo Lila Hussein alikuwa mkazi, na kukaa nao, ili kuweka mkakati wa ku-boycott hiyo hoteli. Damu ya ndugu yetu isimwagike bure. Tuwasusie hao mafisadi tuhakikishe HAWATI MTEJA HATA MMOJA! Yaani wabakie na hayo majumba yao tu! Na mteja yeyote mgeni atakayeonekana akienda pande hizo asimamishwe, apewe hata taarifa za uongo, kwamba HOTELI IMEFUNGWA! Na wajeuri wawekewe miti yenye misumari barabarani ili matairi yao yachomwe na kupata pancha! Wao wamemuua ndugu yetu, basi sisi TUWAFILISI biashara yao, kwa udi na uvumba, mbinu zote zitumike, safi na chafu!

Kwenye vita ya ukombozi, suala la UTAKATIFU halipo!

Haki haiji ila kwa ncha ya upanga!
 
bado kuna tatizo mkuu japo hapa tumezidi! contrast.jpg
Inabidi wanahabari na watetezi wa haki za binadamu walipigie kelele suala hili la wazawa kukosa au kuminywa haki zao na wenye pesa.
 
inauma sana kwa kweli, sasa kwa hali hiyo
kujichukulia sheria mkononi hakutakwisha nchi hii.
 
WaBongo kwa kupindisha maneno na kuweka mbele siasa na kusahau sheria zinasemaje.

Nawaomba mtuweke wazi Je ni sababu gani ambazo DPP amezitoa kuiondoa kesi hiyo mahakamani?

lazima mjue kuwa kama kuna ushahidi wa kutosha basi DPP angeifikisha shauri hilo mahakamani na kama ilivo kawaida ya wabongo kulalama na wakitakiwa kufika mahakamani wanaogopa basi lazima shauri litupwe.

Sasa tunaomba sababu ambazo DPP amezitoa ili kuondoa shauri hilo mahakamani?
 
hahhahahahahaa...jamaa walishatoka siku nyingi sana...na jamaa wako nje ya nchi wanakula bata...
1,Plan A....ilikuwa wanyimwe dhamana..mahakamani..then watoroshwe nje..
2,Plan B....ndio hii sasa...ila yule mhindi mshenzi sana...toka enzi anauza mitumba pale ILALA
 
Halafu vibaka, wezi wa kuku wanasota gerezani.
Huu ujinga tunaulea mpaka lini?
Zombe tuliambiwa eti ye labda alipanga, lakini kwa kua hakushika bunduki hakukua na kesi mahakamani.
Jairo tukaambiwa alituhumiwa kwa kuchangisha 1Bil, sasa kwakua hazikufika hakukua na kosa, so akawekwa huru na bosi wake.
Watanzania tumekua wapole sana.
Wako wapi NTC wetu?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom