Waliomuingiza Magufuli Ikulu hawa hapa, hakuna Mfanyabiashara hapo!

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,584
27,811
Raisi Magufuli alipokutana na wale wote walioshiriki kwa namna moja ama nyingine kwenye kampeni zake za Uraisi, kwa kifupi waliomuingiza Ikulu bila kuwasahau Watanzania wenzetu waliomuamini na kumpigia kura Raisi Magufuli!

Ukiangalia hapo hakuna sura ya Rostam wala Patel sijui gani ni full wazawa! Nchi imerudishwa kwetu sasa WatanZania shime tuimiliki na tusiinyang'anywe tena KAMWE!!

w4.JPG

iku4.JPG

iku6.JPG

iku7.JPG

iku11.JPG

wa1.JPG

IMGS4457.JPG
 
Mbona hujawaweka na wale walioenda kumfunga speed gavana ya kutumbua majipu? Ngoja nikuulize maana wewe ndio huwa unasifia kama vile vispika vya wafanya biashara vilivyorekodiwa bei. "Hapa dawa ya mswaki shilingi mia 3", siku nzima kinarudia neno hilo tu. Toka Magufuli aingie maisha yamekuwa nafuu kwa kiasi gani? Mafuta yameshuka bei hata huko kwenye soko la dunia lakini hapa bado yapo juu, maana yake nini? Ule umeme ambao mpaka bunge umetolea azimio kwamba tunalipishwa isivyo halali nalo limemshinda? Hayo majipu yanayoongeza watu kupunguzwa kwenye ajira yana faida gani kwa watu wasio na ajira? Bado sisi wakulima hatujaona hata dalili ya pembejeo kushuka lakini tunaona mmejazwa hapa jukwaani kusifia wajibu wa rais kama ni hisani vile.
 
sion chochote kwa magufuli maisha yamekuwa magumu vitu vimepanda bei pembejeo kilimo juu while mazao hayana bei.nachokiona majipu yake niyakuwaingiza friends zake kazini.
 
Hivi wafanyabishara wamekuwa maadui wa magufuli anadhani samaki aliowafuga kwenye mabwawa huko chato na hotel ya kebbys itaingiza kodi kwa wananchi ameanza ku jipendekeze baada ya kuona makusanyo ya kodi yanashuka alianza trilioni 1.4 kaja 1.3 sasa 1 hana awezalo la kuanzisha vyanzo vipya vya mapato anadhani akifukuza wafanyakazi ndio kukusanya kodi
 
Kweli kuwa ccm ni laana ina maana hao kwenye picha ndio waliomuingiza pombe ikulu wakati waliomuingiza ni watanzania milioni 8 kwa mujibu wa tume ya uchaguzi au ni kweli aliingizwa na hao watu ? Na si wataanzania kama unavyosema ?
 
Raisi Magufuli alipokutana na wale wote walioshiriki kwa namna moja ama nyingine kwenye kampeni zake za Uraisi, kwa kifupi waliomuingiza Ikulu bila kuwasahau Watanzania wenzetu waliomuamini na kumpigia kura Raisi Magufuli!

Ukiangalia hapo hakuna sura ya Rostam wala Patel sijui gani ni full wazawa! Nchi imerudishwa kwetu sasa WatanZania shime tuimiliki na tusiinyang'anywe tena KAMWE!!

w4.JPG

iku4.JPG

iku6.JPG

iku7.JPG

iku11.JPG

wa1.JPG

IMGS4457.JPG
Nikumbushe ile kamati ya watu 32 please sijawaona hapo, hama kawatosa, hivi yule wa Stat TV Si mfanya biashara ehh( elimu 3)
 
Back
Top Bottom