MAHANJU
JF-Expert Member
- Aug 26, 2014
- 5,244
- 7,966
Mnatumia nguvu nyingi sana kufifisha nguvu ya hili lakini nawaapia kwa jina la Mwenyezi Mungu hamuwezi. Tafadhalini sana tambueni haya;
1.Jipeni moyo lakini shambulio la Lissu lilikua la kihuni na la kigaidi, hakuna aliyependezwa nalo, alipigwa bila hatia. Lazima mtambue kua sio wote waliopendezwa nalo huenda hata watekelezaji wa mipango hawako pamoja.
2.Kama mtu hakufa kwa Risasi zote hizo,Mungu ana mkono wake na muda utazungmza, jipeni moyo mtatajana moja baada ya mwingine.
3.Lissu ni kiongozi na Msomi hawezi kunyamazia unyama huo, anajua ni ipi njia sahihi ya kuwaweka wazi. Amesema yeye sio sawa na MO Dewji au Roma.
4.Majibu ya ni vipi alishambuliwa yanatakiwa kutolewa na vyombo vya Uchunguzi na sio kina Lugola ambaye ni mbunge wa CCM.
5.Mnatambua kua kitendo kilichofanyika ni cha kinyama, ilimwagika damu ya binadamu asiyekua na hatia. Mmevuna laana itakayowatafuna na Mungu aliyewaumbeni ninyi atashughulika na ninyi. Nendeni mkatubu kisha mkamwombe Lissu radhi.