Waliomaliza kirumba primary school 1992.mwanza

Waliomaliza kirumba primary school 1992.mwanza

apartments

Member
Joined
Jun 7, 2013
Posts
16
Reaction score
1
Ndugu zangu mnakumbuka mwl mkuu Jeradi.ebwana huyu mwalimu alikuwa mkali balaa.anakuinamisha uku ukishika maskio nakupigwa viboko vya ajabu.huyu mwalimu alikuwa hachagui aina ya fimbo hata mpini wa jembe anakutandika nao.nakumbuka siku moja nilifanya kosa yakupiga kelele.nilikuwa mimi,Gilbert na mwizalubi ebwana viboko vile sitokuja kusahau kamwe.mwalimu alikuwa mkali vibaya ila kwa dogodogo anatepeta vibaya.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom