Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,941
- 19,130
Serikali imekusanya kiasi cha bilioni 1.2 kutoka kwa wafanyakazi waliokuwa wakilipwa mishahara hewa,
Haya yamesemwa na waziri anayehusika na utumishi wa umma Angela Kairukina bado nyingine zinazidi kukusanywa
Haya yamesemwa na waziri anayehusika na utumishi wa umma Angela Kairukina bado nyingine zinazidi kukusanywa