Waliolipwa mishahara ya watumishi hewa warudisha bilioni 1.2

Johnny Sack

JF-Expert Member
Jan 21, 2017
8,779
18,746
Serikali imekusanya kiasi cha bilioni 1.2 kutoka kwa wafanyakazi waliokuwa wakilipwa mishahara hewa,
Haya yamesemwa na waziri anayehusika na utumishi wa umma Angela Kairukina bado nyingine zinazidi kukusanywa
 
Si ndio wamewafukuza watumishi waliofoji vyeti halafu wanataka kuwarudisha tena!
Sijawahi kumuelewa huyu mama na yule mwenzie
 
Back
Top Bottom