englibertm
JF-Expert Member
- May 1, 2009
- 9,252
- 6,207
Mambo yote 26/4wanabodi.
shirika la bima la taifa limewafurusha bila hata kuwapa notice wapangaji wake huko masaki na mikocheni siku ya alhamisi wiki hii.
Tukio hili lilitokea siku ya alhamisi mchana kuanzia saa 8:00 mchana.
ilivyokuwa.
shirika la bima liliuza nyumba zake kwa PPF huko nyuma. PPF wakawa wanahitaji nyumba zao wapangaji hawa walikuwa wanaenda mahakaman kuweka zuio la kuhamishwa hapo. shirika la bima likawa halipati pesa toka kwao kutokana na kuwepo kwa kesi Y msingi.
MAGUFULI aliitisha kikao cha siri na mkurugenzi wa shirika. na kuwataarifu wafanyakazi wa bima kuwa uhamishwaji ufanyike kwa dharura bila notice wala kuandikwa popote.
walivamiwa na askar wenye siLha za kivita hapo alhamisi.na ni muda ambao mahakama ilikuwa imemaliza shughuli zake.so ilikuwa vigumu kuweka zuio.
wapangaji hawa wakiwemo majudge, wafanyabiashara, watumishi wa umma na watoto wa vigogo wameisoma namba.
polisi walikuwa 46 na yono walikuja na mabounsa pale.
my take.uvunjifu huu wa haki za kiraia ni mpaka lini jamani?
wapangaji hawa wakiwemo majudge, wafanyabiashara, watumishi wa umma na watoto wa vigogo wameisoma namba.
Nionavyo mimi kwa kiasi kikubwa walioguswamy take.uvunjifu huu wa haki za kiraia ni mpaka lini jamani?
Ana vitisho vya kishamba. Atakua msukuma huyowewe nani? au kwakuwa u ashinda jf kupika majungu? kuzaliwa dakika na kufa hivyo hivyo! nani alikuwa na nguvu zaire kama mobutu ? yupo wapi mobutu?
kila nafsi itaonja mauti ndugu acha vitisho
Akiuweka ni tagMwambie aweke. Huu uandishi wa kutuhumu watu bila ushahidi utafanya hili jukwaa lidharaulike na lionekane ni kijiwe cha kupika majungu.
wanabodi.
shirika la bima la taifa limewafurusha bila hata kuwapa notice wapangaji wake huko masaki na mikocheni siku ya alhamisi wiki hii.
Tukio hili lilitokea siku ya alhamisi mchana kuanzia saa 8:00 mchana.
ilivyokuwa.
shirika la bima liliuza nyumba zake kwa PPF huko nyuma. PPF wakawa wanahitaji nyumba zao wapangaji hawa walikuwa wanaenda mahakaman kuweka zuio la kuhamishwa hapo. shirika la bima likawa halipati pesa toka kwao kutokana na kuwepo kwa kesi Y msingi.
MAGUFULI aliitisha kikao cha siri na mkurugenzi wa shirika. na kuwataarifu wafanyakazi wa bima kuwa uhamishwaji ufanyike kwa dharura bila notice wala kuandikwa popote.
walivamiwa na askar wenye siLha za kivita hapo alhamisi.na ni muda ambao mahakama ilikuwa imemaliza shughuli zake.so ilikuwa vigumu kuweka zuio.
wapangaji hawa wakiwemo majudge, wafanyabiashara, watumishi wa umma na watoto wa vigogo wameisoma namba.
polisi walikuwa 46 na yono walikuja na mabounsa pale.
my take.uvunjifu huu wa haki za kiraia ni mpaka lini jamani?
Mange ana ratiba nzimaSiku ya muungano no lini?
Kama ulikuwepo...hizo za masaki wanakaa watu wana uwezo sana.Hao wanao uwezo .....wahamie kwenye nyumba zao tu maana hamna namna nyingine.
Ufipa siku hizi hamnazowanabodi.
Shirika la Bima la Taifa limewafurusha bila hata kuwapa notice wapangaji wake huko masaki na mikocheni siku ya alhamisi wiki hii.
Tukio hili lilitokea siku ya alhamisi mchana kuanzia saa 8:00 mchana.
ilivyokuwa.
Shirika la Bima liliuza nyumba zake kwa PPF huko nyuma. PPF wakawa wanahitaji nyumba zao wapangaji hawa walikuwa wanaenda mahakaman kuweka zuio la kuhamishwa hapo.
Shirika la bima likawa halipati pesa toka kwao kutokana na kuwepo kwa kesi ya msingi.
Rais Magufuli aliitisha kikao cha siri na mkurugenzi wa shirika na kuwataarifu wafanyakazi wa bima kuwa uhamishwaji ufanyike kwa dharura bila notice wala kuandikwa popote.
Walivamiwa na askari wenye silaha za kivita hapo Alhamisi na ni muda ambao mahakama ilikuwa imemaliza shughuli zake.So ilikuwa vigumu kuweka zuio.
wapangaji hawa wakiwemo majaji, wafanyabiashara, watumishi wa umma na watoto wa vigogo wameisoma namba.
Polisi walikuwa 46 na Yono walikuja na mabaounsa pale.
My take: Uvunjifu huu wa haki za kiraia ni mpaka lini jamani?
Sasa hiyo mahakama nayo kwanini iweke zuio kama imeona mpangaji hana hoja za kisheria?Malalamiko mengine ni ya kipuuzi sana unawezaje kung'ang'ania nyumba isiyo yako tena kwa kukimbilia kuweka zuio mahakamani,watu kama hao ndio wanapigwagwa vipapai uswahilini