waliokuwa wanaishi kama malaika sasa wanalia

Tanaluza

JF-Expert Member
Oct 16, 2015
212
121
Joyce amlilia kikwete
 
Attachments

  • WEBPAGE_20160504_223440.jpg
    WEBPAGE_20160504_223440.jpg
    13.8 KB · Views: 48
Walioishi kama malaika ndio walikua wanawasaidia hawa wanaoishi kama shetani, sasa kama na wao wanatakiwa waishi kama shetani itakuaje kwa ambae anaishi kama shetani hadi sasa..! Make cheo cha shetani kinaenda kuvamiwa na malaika, hawa mashetani sijui wanaenda kupewa cheo gani..! Ni lazima mashetani nao washuke cheo.
 
amfuate msoga. kila kukicha walikuwa wakilia humu kuwa Kikwete hajafanya lolote na ni mpole sana. sasa amewaletea bulldoza magufuli. hamna kuremba kama Kikwete. acha kwanza waisome namba.
 
Huku "Malaika" wa Escrow, Lugumi na wale wa bilioni 9 za Ikulu na wengineo wakiendelea kutafuna keki ya Taifa kwa raha zao.

Cha ajabu hata walioishi kama shetani wanazidi kudumaa!!!
 
Walioishi kama malaika ndio walikua wanawasaidia hawa wanaoishi kama shetani, sasa kama na wao wanatakiwa waishi kama shetani itakuaje kwa ambae anaishi kama shetani hadi sasa..! Make cheo cha shetani kinaenda kuvamiwa na malaika, hawa mashetani sijui wanaenda kupewa cheo gani..! Ni lazima mashetani nao washuke cheo.
watakuwa mashwetwani
 
Huku "Malaika" wa Escrow, Lugumi na wale wa bilioni 9 za Ikulu na wengineo wakiendelea kutafuna keki ya Taifa kwa raha zao.
Haha, tena wanalindwa kwa nguvu za dola... Akina Mkapa wanatanua tu huku viwanda vyao vya sukari vikifanya ukiritimba Leo sukari elfu 3 kwa kilo..... Nchi hii aliyetegemea CCM italeta nafuu iliyoshindwa kwa 50 years anajidanganya!!!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Aisee inasikitisha sana na hii ni ndani ya miezi sita tu yuko busy kutoa kauli za "Nimtumbue hadharani?" Wadanganyika mtumbueeeee au kutaka askari aliyetukanwa apandishwe cheo bila kufuata taratibu za jeshi hilo kupandisha vyeo maaskari huku akila kona kiaina kama hayuko nchini kuhusu Escrow, Lugumi, UDA, Pride na mazagazaga mengine.

Back
Top Bottom