duh!!kwa hiyo unataka kutuambia kuwa udom mnapata kazi kwa kubahatisha c ndio?
mzumbe hatuna dili
mzumbe hatuna dili
kweli uelewa wako ndio unaishia hapo? Nani asiyejua kua kazi siku hzi ni za kubahatisha bz mnaomba watu maelfu huku nafasi ni chache sana
naona wewe hujielewi..ngoja nkuache kama ulivyo tu..naona hata hiyo kazi hujaipata kihalali..maana huwez kuwa na akili fupi hivi then ukafaulu usail..wacha kuwaibisha wana udom wenzio humu.
Suala sio kupata kazi. Inawezekana na degree yako umekubali kuajiriwa kwa mshahara wa mtu mwenye certificate. wana Darisalama wa UD wanachokataa ni kuajiriwa kwa mishahara ya kinyonyaji. Yan graduate uanaajiriwa kwa mshahara wa laki tatu. Mshahara kiduchu kuliko hata bumu alafu unakubali na unakuja hapa kutamba ati umepata kazi na kuwaacha wana UDSM wanakalia benchi? Aibu yako wee!
sijajitapa ila hujaelewa uzi wangu...pia usifanye kazi ya shehe yahaya, una uhakika gani nimeajiriwa kwa certificate?.,kweli uelewa wako umeishia hapo?
Samahani wandugu, naomba Comments zenu kuhusu wahitimu wa SUA, je wanaajiriwa kwa wing au nao ni shiida?? (ondoa course za Edu)
Kwenye quotation apo mkuu c kweli...!Unaweza ukawa na degree lakini ukalipwa mshahara wa laki tatu sawa na mtu mwenye certificate. Wana Darisalama wa UDSM ni sawa na Wanaisrael, acha kujilinganisha nao kabisa. "Uwezo wao wa kufikiri pia uko juu sana" u have to accept that...
hata bible inasema USIBISHANE NA MPUMBAVU, MWACHE AENDE KWANI WOTE MTAONEKANA WAPUMBAVU....KENGE WW