Princess qute
JF-Expert Member
- Jul 16, 2016
- 621
- 552
Nipo zanzibar mkuu je nikiwapigia wanaweza kunisaidia?Kama upo Dar fika katika ofisi zao pale mwenge. Nahisi watakusaidia
Kwa taarifa zaidi piga +255 22 550 7910
umeshatuma form??Nipo zanzibar mkuu je nikiwapigia wanaweza kunisaidia?
Ndioumeshatuma form??
Daaah...! hapo ufanye juu chini uwapigie kwa namba yao, mwaka jana mimi pia nilikosea kujaza na option ya ku edit ilikuwa bado haijawekwa na walinirekebishia!Ndio
Thanx so much ntaomba MunguDaaah...! hapo ufanye juu chini uwapigie kwa namba yao, mwaka jana mimi pia nilikosea kujaza na option ya ku edit ilikuwa bado haijawekwa na walinirekebishia!
Lakini katika kuwapigia kuna wakati unaambiwa namba haipo,mara haiptikani,mara inatumika na wakati mwingine inaita bila kupokelewa!!!
Usikate tamaa na kama simu yako ina earphone ziweke masikioni na uweke autodial itapokelewa tuu..
Mwaka jana nilitumia sikumbili kuwapata na muda niliowapata ilikuwa saa nne asubuhi..!
nadhani hakuna sehemu ya kukata dada!!Nami nna tatizo katka form hzo serikali ya kijiji haikukata sehemu zile
nadhani hakuna sehemu ya kukata dada!!
wenyewe wanasaini,wanapiga muhuri wao na kisha unarudishiwa form yako!!
Sehem ipi jaman hiyo mbn hili balaaa me nimeona saini tu ya mwenyekiti mjumbe na katibuSehem ya kukata ipo wew hata mm nilisahau...
Kuna sehemu ambayo kuna maswali na majibu kwahiyo unakata majibu yasiyo sahihi ... Mfano mwombaji wa mkopi ni/si mkazi wa eneo husika ... So unakata si .... Hayo maswali yapo juu kidogo kutoka kwa zile sehemu ambazo zinatakiwa zisainiwe na mwenyekiti katibu na mtendajeSehem ipi jaman hiyo mbn hili balaaa me nimeona saini tu ya mwenyekiti mjumbe na katibu
hahahahaahaaaaa!!! nilijua kukata yaani kuchana... hiyo hainaga matatizo, mimi kote hakukukatwa hadi kwa hakimu! wala hawazingui...Kuna sehemu ambayo kuna maswali na majibu kwahiyo unakata majibu yasiyo sahihi ... Mfano mwombaji wa mkopi ni/si mkazi wa eneo husika ... So unakata si .... Hayo maswali yapo juu kidogo kutoka kwa zile sehemu ambazo zinatakiwa zisainiwe na mwenyekiti katibu na mtendaje
Nimekosea kujaza mwaka kwenye namba ya mtihan ya o level nimeeka 2016 baada ya 2013 nifanyeje kuepuka kuitwa kwa waliokosea au sitoitwa kwa vile cheti cha matokeo kinaonesha mwaka sahihi. Naomba kujuwa tafadhali
Sehem ipi jaman hiyo mbn hili balaaa me nimeona saini tu ya mwenyekiti mjumbe na katibu
Thanx ila kufurahia itakuwa bdo mpaka apo yatakopotoka majibu umaweza kurekebisha na mkopo ukakosa Mungu atufanyie wepecSehemu Ya Kukata ipo Ni Hiyo Kwenye Picha Yenye Roman I - V.
View attachment 380060
Na Kuhusu Kukosea Subiri Kipindi Si Kirefu Watatoa Majina Ya Wale Wote Waliokosea Kujaza Habari Muhimu Katika Gazeti la Serikali na Kwenye Website Yao! Kwahiyo Kama Utakuwa na Juhudi Ya Kutembelea Jukwaa Hili la JF mara Kwa Mara Basi Hutopitwa na Hili.
Yatakapotoka Majina Ya Waliokosea na Lako Ukawa Hujaliona, Basi anza Kufurahia Mkopo
MagomeniVumilia na kubali tu umekosea, subiri kuitwa urekebishe.
Anyway upo Zanazibar sehemu gani?
Me nimegongwa na mwenyekiti tu mana wote ofisi yao mojaHiv wote mwenyekiti wa kijiji, mtendaji wa kata na mjumbe wote wanatakiwa kugonga muhuri? Maanake mm aligonga mwenyekiti wa kijiji tuu