Abdy Misen
Member
- Feb 4, 2021
- 12
- 16
NdioUlisoma pvt secondary?
Nilikosa nikaandika barua ya kughairisha mwaka japo nilikua na vigezo vya yatima ila sikuwa na cheti kimojawapo cha kifo cha mzazi mmoja...Mimi ni mwanafunzi niliemaliza kidato cha 6 mwaka huu na kama kawaida niliomba mkopo kwa sabab natokea katika familia duni ili pengine niweze kuokoa jahazi nyumbani na kipindi tunasoma tuliaminishwa kuwa kufanya kwetu vizur kungetupa fursa nzuri ya kupata mkopo ndio tumefanya vizur lakin kinachosikitisha zaidi mpaka sasa SIJAPATA walau ata 0% na ada ni Mil1.3
Mpaka sasa nimekosa matumaini ya kuendelea na masomo katik ngazi ya elimu ya juu na kwa hadhi ya elimu hii ni kama nilpoteza mda kwa zaidi ya miaka miwil wakat mwingin nawaona bora ata walosoma vyuo vya kati maana ata wana diploma na sio mimi tu wapo weeengi mno ambao mpaka sasa wapo mtaan na hawana uelekeo wowot wa kimaisha yaan miaka miwili tulioipoteza sasa ni kama tunajutia kupoteza huu muda na hali ya kuwa hatujui mtaan tunaingiaje sasa ndipo nimeona niletee huu uzi pengine waliokosa mikopo miaka ya nyuma watupe experience maana ni kundi ambalo halizungumziwi na ni kama waliachwa wapambane na hali zao!!
Umehitimu mwaka ganiNilikosa nikaandika barua ya kughairisha mwaka japo nilikua na vigezo vya yatima ila sikuwa na cheti kimojawapo cha kifo cha mzazi mmoja...
Mwaka uliofuata nikaomba tena kwa kuweka vyeti vyoote nikapata
Aise sitosahau maumivu niliyopata kuona wenzangu wananendelea na chuo, wamepata mikopo na hawana vigezo vyovyote
Kila kitu na muda wake nilihitimu na kazi sijapata mpaka sasa.
Daah Hongera na pole pia ambacho naona hapa tunapewa elimu inayotufanya tuwe tegemezi na sasa inapofika muda unategemea bodi ya mikopo ndio unapigwa tiktak ambay unaweza hisi dunia nzima haipo na wewe kabisaaaNilikosa nikaandika barua ya kughairisha mwaka japo nilikua na vigezo vya yatima ila sikuwa na cheti kimojawapo cha kifo cha mzazi mmoja...
Mwaka uliofuata nikaomba tena kwa kuweka vyeti vyoote nikapata
Aise sitosahau maumivu niliyopata kuona wenzangu wananendelea na chuo, wamepata mikopo na hawana vigezo vyovyote
Kila kitu na muda wake nilihitimu na kazi sijapata mpaka sasa.
2020Umehitimu mwaka gani
Wakati mwingine nadhan wazazi waliosomesha watoto wao private wanafaa kupongezwa saana maan wamejinyima meeng saaan na kupambana kwa kila hali ili mtoto wao asome lakin bado serikali inakosa fadhila hata kwao na kuona wana uwezo wa kuwasomesha hata VyuoniJiwe alisema tunyimwe na ikawa hivo, ila ki roho safi fresh tu nilimaliza masomo
Hii nchi ukisoma shule za private za milioni mbili kwa mwaka kwa sababu ya umasikini watu wanaamini umetoka familia nzuri kumbe hakuna kitu watu.
Jiwe alisema tunyimwe na ikawa hivo, ila ki roho safi fresh tu nilimaliza masomo
Hii nchi ukisoma shule za private za milioni mbili kwa mwaka kwa sababu ya umasikini watu wanaamini umetoka familia nzuri kumbe hakuna kitu watu.
Kuna mwanajamii ameandika Uzi ,ana GPA 4 na miaka kibao Hana kazi.Mimi ni mwanafunzi niliemaliza kidato cha 6 mwaka huu na kama kawaida niliomba mkopo kwa sabab natokea katika familia duni ili pengine niweze kuokoa jahazi nyumbani na kipindi tunasoma tuliaminishwa kuwa kufanya kwetu vizuri kungetupa fursa nzuri ya kupata mkopo ndio tumefanya vizuri lakini kinachosikitisha zaidi mpaka sasa SIJAPATA walau ata 0% na ada ni Mil1.3.
Mpaka sasa nimekosa matumaini ya kuendelea na masomo katik ngazi ya elimu ya juu na kwa hadhi ya elimu hii ni kama nilpoteza muda kwa zaidi ya miaka miwil wakat mwingine nawaona bora hata walosoma vyuo vya kati maana hata wana diploma na sio mimi tu wapo weeengi mno ambao mpaka sasa wapo mtaani na hawana uelekeo wowote wa kimaisha yaani miaka miwili tulioipoteza sasa ni kama tunajutia kupoteza huu muda na hali ya kuwa hatujui mtaani tunaingiaje sasa ndipo nimeona niletee huu uzi pengine waliokosa mikopo miaka ya nyuma watupe experience maana ni kundi ambalo halizungumziwi na ni kama waliachwa wapambane na hali zao.
nina mashaka saana kama wahusika wa Bodi wana uelewa wa hakika yale ambayo wanafunzi tunayapitia pengine wao hawakusoma katik mazingira magumu kwa hivo kwao inakua vigumu kutathmini uhitaji wa mtu na kuamua kusingizia vigezoWengine unakuta wamesaidiwa tu na ndugu, wazazi ni choka mbaya, sasa msaada wa ndugu siyo wa kutegemea mwanzo mwisho.......
Hiki kigezo cha private naona hakina uhalisia wowote na kinaweka tu matabaka kutaka kunyima haki ya elimu ya juu kwa vijana walio wengi. Shule za private zipo nyingi sana kwa sasa na siyo kwamba wote wanaosoma shule hizo ni watoto wa matajiri, asilimia kubwa ni watoto wa wazazi wenye uwezo wa kawaida tu ambao labda muda wa kulipa ada ukifika wanakuwa wanahangaika huku na kule ikiwemo kuomba msaada wa ndugu na marafiki.
Pole na Hongera mkuu naona ss ndio njia ninayoiendeaMimi pia nilikosa mkopo nililalama sana zaidi ya ujuavyo.
Nilizunguka sana ofisi za bodi ya mikopo pasi na mafanikio lakini mungu si athumani namshukuru sana mbunge wa Jimbo la morogoro mjini mh abood na sitomsahau HoD wangu wa EMPs na Kila siku ntawashukuru classmates wangu walisimama na Mimi waliakikisha ada inalipwa kwa miaka yote mitatu na hatimaye NAMI nilifanikisha ndoto yangu nilihitimu kwa stress nyingi sana chuo
Hawajui kama wazee wanajibana na kupambana ili mtoto wao asome...ni hivyo tu hakuna mikopo ya sekondari wangeona namna watu wangeapply pia.Jiwe alisema tunyimwe na ikawa hivo, ila ki roho safi fresh tu nilimaliza masomo
Hii nchi ukisoma shule za private za milioni mbili kwa mwaka kwa sababu ya umasikini watu wanaamini umetoka familia nzuri kumbe hakuna kitu watu.
Wenye hela zao wanasomesha wtt wao IST huko na FEZA sie wengine tunopishana hizo shule za pvt nyenginezo ni wa kawaida tu. mtu mpaka uchukue mkopo bank ndio ulipe ada. Unatamani mtt amalize form 6 fasta angalau serikali ikupokee mzigo. Lakini ndio hivyo, kila pahali mpaka uwe na mtu wa kukupenyezaWengine unakuta wamesaidiwa tu na ndugu, wazazi ni choka mbaya, sasa msaada wa ndugu siyo wa kutegemea mwanzo mwisho.......
Hiki kigezo cha private naona hakina uhalisia wowote na kinaweka tu matabaka kutaka kunyima haki ya elimu ya juu kwa vijana walio wengi. Shule za private zipo nyingi sana kwa sasa na siyo kwamba wote wanaosoma shule hizo ni watoto wa matajiri, asilimia kubwa ni watoto wa wazazi wenye uwezo wa kawaida tu ambao labda muda wa kulipa ada ukifika wanakuwa wanahangaika huku na kule ikiwemo kuomba msaada wa ndugu na marafiki.