Waliokosa loarn board, appeals are out

ngomicom

Senior Member
Jul 6, 2012
123
19
Ndugu zangu wa JF tafadhali sana naomba mnijuze kama wale applicants ambao walikosa kabisa mkopo for undergraduate (majina yao hayakutokea kwenye orodha yenye mapungu na hawakupata) wanaweza kukata rufaa?
 
title na main body haviendani hata kidogo
:focus:
maana ya rufaa ni kupingana na hukumu kwa kutoa udhibitisho kua umeonewa, kwa hilo mkuu anaweza ku appeal, just tembelea OLAS Welcome kwa ku appeal
 
Back
Top Bottom