habar za mida wanajamvi
=katika pitapita zangu za hapa na pale kwenye jamii inayonizunguka pia kwenye mitandao kibao tu. huwa nasikia kuwa sehemu ya mwanamke ambayo kwa asilimia nyingi ina hisia kali hasa katika yale majambozi ya kikubwa ni kic....me''
=sasa nilikuwa nataka kufahamu je vipi kwa hawa ndugu zetu ambao hivi vitu huwa vinatolewa na wenyewe wanapata hisia kama wengine? au inakuajekuaje?