kama kuna walioitwa wizara ya mambo ya ndani ukonga wanipe link ya majina ,nimepigiwa simu kwenye daladala sasa sikumbuki tena.
nijulisheni.niliomba post ya it wakasema jumanne ila hata eneo silijui
kuna kazi za database walitoa muda kidogo,ndio wakapiga simu kwa ajili ya interview ukonga,ila sikumuelewa vizuri nilikuwa kwa daladala. sikujua hata ofisi zao huko ukonga ni mahali gani
kuna kazi za database walitoa muda kidogo,ndio wakapiga simu kwa ajili ya interview ukonga,ila sikumuelewa vizuri nilikuwa kwa daladala. sikujua hata ofisi zao huko ukonga ni mahali gani
Ukonga si ni gereZa
Huko hakuna mfungwa aliyesoma IT
itakua chuo cha magereza ukonga,lakini kwa nafasi anazozizungumzia huyo bwana zilikua zinahusu unhcr na sio magereza.