Walioitwa usaili Geita Gold Mining Ltd

ethicx

JF-Expert Member
Apr 4, 2012
311
124
Habari zenu wana jf, naomba nifahamishwe kwa mtu mwenye kufahamu taarifa za watu walioitwa kwente interview geita gold mining ltd kuwa wanatakiwa kutipoti lini?
Regards.
 
hawa jamaa wa geita hawako siriasi kabisa.mi walinipikia simu tarehe 10/9 siku ya jumatatu saa nne mchana kuwa natakiwa kuhudhuria interview siku ya jumanne tarehe 11/9 mchana,na interview yenyewe inafanyikia mwanza na dar wakati huo mi niko arusha.nikafikiria kuwa wanataka nipande ndege au wanafikiri nitafikaje dar au mwanza kwa mda huo.
 
mtaka cha uvunguni?...
 
Habari zenu wana jf, naomba nifahamishwe kwa mtu mwenye kufahamu taarifa za watu walioitwa kwente interview geita gold mining ltd kuwa wanatakiwa kutipoti lini?
Regards.

kimya kizidi ujue walishaingia kupitia mlango wa.....usichoke jaribu buzwagi
 
Back
Top Bottom