mundu mkongw
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 202
- 88
j.tano tulifanyavinterview y assistant supplies officer tuliambiwa oral itafanyika tarehe 24, mpaka leo tareh23, kimyaa nimemuuliza mshikaji wangu niliyefanya nae interview hakuitwa pia so kama kuna aliyeitwa tujuzane?
kumbe muhimbili walishaita,
Mimi pia niliapply post ya Administrative officer hadi leo kimyaa,
siku hio mlifanya na wa post zingine au mlikua peke yenu?
ila subiria labda wamechelewa kuita,lakini wiki ijayo ikipita hamjaitwa ujue hamkupita kwenda oral
Kwani waliwaambia wote mtaitwa kwenye Oral interview au wale watakaokua wamefanya vizuri written?
Aise mimi pia nimefanya Interview hapo lakini hii ni wiki ya tatu wako kimya
vp nafasi ya internal auditor na accountant II?
walituambia ukiona hujaitwa hadi tarehe 23, jua hukufanikiwa kuchaguliwa oral ila paper naona ilikuwa fair sana pia hakukua na uwazi maana tuliandika majina,pia msimamizi alikuja na mitihani kwenye bahasha iliyowazi ndio maana ninamashaka?