Mulungwani
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 456
- 84
Kuna uhusiano wowote tukio lililotokea zenj hivi karibuni? Hii timing inatia mashaka sana.
Tangu "waliposhindwa" kujua aliyeemuua Mwangosi na aliyemteka na kisha kumtesa Dr Ulimboka, sijapata kuwaamini tena polisi wetu.
Serikali ya kuzima hoja kwa matukio kuna issue ya Ndugai kuna issue ya Padri kumwagiwa tindikali Zanzibar, sasa mnahamishwa toka Dodoma na Zanzibar, mnapigwa changa la macho Arusha msahau hoja zilizoko mezani.Taarifa zilizosomwa sasa hivi TBC ni kwamba wale wote waliolipua mabomu katika kanisa la Olasiti na mkutano wa CHADEMA na kuua watu na wengine wengi kujeruhiwa wote wamesha kamatwa na wako polisi kwa mahojiano zaidi.
Sasa ngoja tusubiri kama watapatikana na hatia au laa au itakuwa sinema kama ya kamanda Kova na mateso ya Dr Ulimboka.
Taarifa zilizosomwa sasa hivi TBC ni kwamba wale wote waliolipua mabomu katika kanisa la Olasiti na mkutano wa CHADEMA na kuua watu na wengine wengi kujeruhiwa wote wamesha kamatwa na wako polisi kwa mahojiano zaidi.
Sasa ngoja tusubiri kama watapatikana na hatia au laa au itakuwa sinema kama ya kamanda Kova na mateso ya Dr Ulimboka.
Serikali ya kuzima hoja kwa matukio kuna issue ya Ndugai kuna issue ya Padri kumwagiwa tindikali Zanzibar, sasa mnahamishwa toka Dodoma na Zanzibar, mnapigwa changa la macho Arusha msahau hoja zilizoko mezani.
Kazi ya IGP leo imaletwa kwenu na mwanasiasa anaegombania mabango ya barabarani! Kila siku nasema siielewi serikali ya Ccm wala sitaki kuielewa
Duh! Kama kuna ka ukweli fulani mkuu maana sisiemu kwa mazingaombwe wanatisha
Lakini tuwape hongera vyombo husika kama vimeweza kuwakamata wahusika.
hofu yangu CCM isije ika plant watu wakaja kusema wameagizwa viongozi wa cdm ili kuiangamiza CDM! some one can be bought with millions so we must be keen and prepare for any that can happen saikologicaly
Yaani Ccm hii nchi imeashinda loong time! Wamebaki kuongoza kwa kupiga ramli tu, issue kubwa kama hii ni ya kuzungumzwa na mkuu wa mkoa ambae hajui hata chembe ya intelligency? Tunatakiwa kuwa macho na haya majangaDuh! Kama kuna ka ukweli fulani mkuu maana sisiemu kwa mazingaombwe wanatisha
Unaweza kuwa swa kwa asilimia kubwa maana hapa naangali nakala ya daily news juu kuundwa kwa tume/kamati ya uchunguzi, sina uhakika kama jina la RC au cheo chake kimo.Serikali ya kuzima hoja kwa matukio kuna issue ya Ndugai kuna issue ya Padri kumwagiwa tindikali Zanzibar, sasa mnahamishwa toka Dodoma na Zanzibar, mnapigwa changa la macho Arusha msahau hoja zilizoko mezani.
Kazi ya IGP leo imaletwa kwenu na mwanasiasa anaegombania mabango ya barabarani! Kila siku nasema siielewi serikali ya Ccm wala sitaki kuielewa
Umeonae? Tena wafika Arusha badala ya kufanya kazi waliyo tumwa IGP Chagonja katumia masaa manne kupiga watu wa Arusha mabomu ya machozi, na kukamata Kina Mbowe na wabunge wengine wa Chadema ati walifanya mkutano usio na kibali,! Kodi zetu ndivyo zinavyotumiwa kwa propaganda bila kuwa na mrejesho. Go to hell CcmUnaweza kuwa swa kwa asilimia kubwa maana hapa naangali nakala ya daily news juu kuundwa kwa tume/kamati ya uchunguzi, sina uhakika kama jina la RC au cheo chake kimo.View attachment 112405