habariyamujini
JF-Expert Member
- May 16, 2013
- 3,094
- 457
CHADEMA ipo moyoni si kwenye majengo na mavazi kama hawa inzi wa kijani(maccm).
Iramba hakuna mtu yeyote toka ACT aliyehamia CDM ni uzushi mtupu na uongo uliyekithiri!
JF imegeuzwa ukumbi wa kupiga majungu na kusema uongo hadharani!
Nilishangaa majuzi kwenye BMK Siita anasema ACT ni Chama kichanga lakini ninafanya vizuri na kinakua kwa kasi.
Chadema imesha kufa,kila opararion imefeli,chaguzi ndio wametumia Bil 3,,chopa 3,wakaambulia kata tatu.
Kalenga holaaa
chalinze chiniiiii
Maandamano yamebuma
hata wale vijana wa kutunga uongo aki na Yeriko na Saa nane nao wamegoma kutumikishwa.
Andamana wewe sisi tuachie chama pendwa chenye mikakati ya kisomi.
ACT -TANZANIA ndio habari ya mjini,na utaikubali ACT siku ukimjua M2 ni nani.

Wawe wanachama wa kawaida kwa miaka mitano...na wapimwe kwa matendo baada ya hiyo miaka ndipo wapewe UONGOZI.
Majimbo ya watu wenye elimu yako CDM, sehemu wanazojitambua kama Ubungo, Kawe, Arusha, Moshi, Karatu nk. Ni heri "upate ushirikiano wa mtu mtu mmoja anayejitambua kuliko zigo la watu wasiojitambua"Kalenga na Chalinze ni majimbo ya Magamba, so wamerudisha majimbo yao.
Huwezi kupima kwa chaguzi hizo, labda akili zako zishabihiane na kinyesi.
Ikiwa una akili za kiutu uzima utajua tu kama Chadema imeimarika zaidi kupitia uchaguzi mkuu wa chama uliopita.
Kwa Tanganyika nzima mmebaki watatu tu wanaoamini Chadema imekufa, ambao ni wewe, mumeo na baba ako.
Ova.