Waliohamia ACT warejea CHADEMA Singida

Tusidanganyane "CDM' ni kiboko yao; wachache wanajidanganya ati CCM inaimarika, thubutu!
 
Kila siku tunasema HUWEZI KUANZISHA CHAMA CHA SIASA KWA KUTEGEMA KURUBUNI WANANCHAMA WA VYAMA VINGINE - chama hakijengwi namna hiyo.

Kinachotakiwa ni kupiganga, kuweka itikadi ya chama chako then wanachama waje wajiunge na wewe kwa hiari yao wenyewe!!

Sijui mshauri wa chama hiki kipya ni nani kama hajui hata vitu vidogo vidogo kama hivi basi chama kitakufa kabla hakijatambaa.
 
Nilishangaa majuzi kwenye BMK Siita anasema ACT ni Chama kichanga lakini ninafanya vizuri na kinakua kwa kasi.
 

Kwa hiyo huku kwa Mbowe amefika dau la sh ngapi sasa, maana walifuata pesa.
 
Kitila Mkumbo kwasasa anajilaumu kwa kujitangaza mapema!! Bora angejiweka kwenye mabano kama mnafiki mwenzie Zitto!!
 
Acha Porojo na kudanganya umma,hakuna kiongizi hata mmoja wa ACT -Tanzania alierejea chagadema.

Kwa sasa chagadema imeshapoteza uelekeo na inarafuta kick kwa story za kurunga hasa baada ya CD yao ya maandamano ku scratch.

Waache ACT waijenge na falsafa iliyitukuka kwa wananchi wao.

Watunga hekaya maarufi wenyewe wameshaisusa kazi,wewe bado hujakata tamaa?

Pole sana
 
Chadema imesha kufa,kila opararion imefeli,chaguzi ndio wametumia Bil 3,,chopa 3,wakaambulia kata tatu.

Kalenga holaaa


chalinze chiniiiii


Maandamano yamebuma


hata wale vijana wa kutunga uongo aki na Yeriko na Saa nane nao wamegoma kutumikishwa.

Andamana wewe sisi tuachie chama pendwa chenye mikakati ya kisomi.


ACT -TANZANIA ndio habari ya mjini,na utaikubali ACT siku ukimjua M2 ni nani.
 
si wanende ccm sasa kama mwampamba na july?
 


Mkuu elimu yako kwanza tafadhari maana hata jina lako umeshindwa kuandika!!

 
wakamlambe mwigulu kwanza ------ ili tuone kama watapata walichoahidiwa
 
Mimi nashauri walambwe bakora kwanza hayawani hawa.
Toa BORITI kwenye jicho lako kabla ya kushangaa kibanzi ...............
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...-zilizoibiwa-zapatikana-ofisi-za-chadema.html
 
Mlituaminisha hapa kuwa hawa ni mamluki na hawahitajiki ndani ya chadema.
Mbona mnakula matapishi yenu????? wendawazimu utawajua tu kwa double standard
 
CHADEMA ipo moyoni si kwenye majengo na mavazi kama hawa inzi wa kijani(maccm).
 
ARFIIIIIIIIIIIII. Safi sana ,hivi kwa nini Zitto alikupoteza vile??.Hata hivyo hiyo reaction humo ndani haina nguvu.Ungekuja tu huku nje tukapambana nao.
 

Haya ni maneno yako ndugu yangu Alfayo, umetengeneza uongo unajijibu mwenyewe! Hakuna kiongozi yeyote aliyerudi Chadema nilikuwa na Bwana Salehe pale Zinziligi kiwanda cha Ndugu Yusuph Nalompa na kukanusha vikali hizi shutuma!

Chadema Iramba ni mfu hoi kabisa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…