Waliopata kuwa viongozi wa CHADEMA wilayani iramba mkoa wa singida na kuhamia ACT,wameomba kurejea Chadema.Taarifa za uhakika kutoka wa viongozi waandamizi wa chadema wilaya na mkoa zimethibitisha habari hii kuwa ni kweli.Viongozi waliotajwa kurejea chadema ni aliyekuwa mwenyekiti wa chadema kata ya ndago bwana Salehe Maganga,aliyekuwa katibu mwenezi kata ya urugu Hamisi Mtoa na aliyepata kuwa mwenyekiti wa chadema wilaya iramba Hasan Sembe.Walipohojiwa walidai sababu za kuomba kurejea Chadema ni pale walipogundua kuwa ACT sio chama cha upinzani ila ni mawakala wa Ccm,na wanasema waliahidiwa kupewa pesa na Kitila Mkumbo ili wahame Chadema lakini kawatapeli.Wamedai Chadema ndio chama chenye kubeba matumaini ya watanzania.SOURCE viongozi wa chadema singida.
Mimi nitashangaa CDM ikiwapokea tena hawa mbwa.Alianza Zitto kujilaumu sasa na hao nao. Bado wasaliti wote watajuta!
Mijitu isiyokuwa na misimamo no janga.Watarudi Wote Maana Act ni wakala wa Ccm Nashukuru Mungu watanzania wamewagundua Mapema sana wana Movie Nyingi sana hawa watu
Ni vizuri kama wamejitambuaWaliopata kuwa viongozi wa CHADEMA wilayani iramba mkoa wa singida na kuhamia ACT,wameomba kurejea Chadema.Taarifa za uhakika kutoka wa viongozi waandamizi wa chadema wilaya na mkoa zimethibitisha habari hii kuwa ni kweli.Viongozi waliotajwa kurejea chadema ni aliyekuwa mwenyekiti wa chadema kata ya ndago bwana Salehe Maganga,aliyekuwa katibu mwenezi kata ya urugu Hamisi Mtoa na aliyepata kuwa mwenyekiti wa chadema wilaya iramba Hasan Sembe.Walipohojiwa walidai sababu za kuomba kurejea Chadema ni pale walipogundua kuwa ACT sio chama cha upinzani ila ni mawakala wa Ccm,na wanasema waliahidiwa kupewa pesa na Kitila Mkumbo ili wahame Chadema lakini kawatapeli.Wamedai Chadema ndio chama chenye kubeba matumaini ya watanzania.SOURCE viongozi wa chadema singida.
Kitila Mkumbo atamfilisi Zitto
Yaani kachukuwa pesa alafu hajawatoa Jamaa?
Au utakuta Zitto alikuwa anampa za kumtoa Mwigamba alafu yeye anatia ndani?
Mimi nitashangaa CDM ikiwapokea tena hawa mbwa.
Hapana, si tofauti za kisiasa. Hawa wanasema wanarudi CDM baada ya kugundua kuwa ACT si chama cha upinzani. Kasoro zilizowatoa CDM mwanzoni kama walivyodai hazipo kwa sasa? Tuki-entertain hawa mbwa na njaa zao hatutafika huko tutakapo kufika.Taratibu mkuu Gagnija hawa ni binadamu wenzio! tofauti za kisiasa zisitufikishe huko!
CCM washagundua kwamba majukumu waliyotoa hayatekelezeki. Unafikiri wataendelea kutoa pesa kwa kazi gani tena!Wote wezi tu , nadhani kisima chao toka CCM kimeanza kukauka hawana tena fedha ya kuhonga
Mimi nashauri walambwe bakora kwanza hayawani hawa.Tunawakaribisha lakini wajenge kwanza pale walipobomoa.