Waliofukuzwa UDOM mbioni KUREJESHWA...

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
6,135
17,802
Wale wanafunzi kwa makumi waliofukuzwa au kusimamishwa masomo katika Chuo Kikuu cha Dodoma( UDOM) wako mbioni kurejeshwa.Taarifa nilizonazo zinaonesha kuwa hali hiyo inafuatia kuonekana kwa 'madudu' juu ya aliyewafukuza wanafunzi hao na kukiukwa kwa taratibu za kuwasimamisha/kuwafukuza.

Nyaraka nilizonazo zinaoonesha kuwa wanafunzi hao wamefukuzwa au kusimamishwa masomo na Wakuu wa Koleji au/na Kamati za Nidhamu za Koleji ambazo kisheria hazina mamlaka za kufanya hivyo. Nyaraka na sheria za Chuo zinaoonesha kuwa aliyepaswa kuwafukuza ni Kamati ya Nidhamu kwa Wanafunzi ya Chuo na si za Koleji.

Taarifa rasmi zinaoonesha kuwa tayari baadhi ya wanafunzi waliosimamishwa au kufukuzwa wameshafungua shauri Mahakama Kuu Dodoma kuiomba Mahakama hiyo kutengua amri batili ya kufukuzwa/kusimamishwa kwao. Wakati huo huo,uongozi wa UDOM umetakiwa kusawazisha mambo hayo nje ya Mahakama kwakuwa chuo kiliteleza kufikia maamuzi hayo. UDOM inapanga kujisahihisha ili kulinda heshima yake...
 
Heshima yake ipi? kwani ilishawahi kuwa na heshima?
 
p*b*v wakufikiri udom bado inamiaka michache nafikiri ni 3rd graduation na heshima inajengeka polepole hamna mtoto anazaliwa na meno,ninamshkaj yangu kamaliza mwaka jana hapo saii yupo CRDB anakula bata,zawad machibia kamaliza st john saii yupo BBC anakula shav,ukienda hospital kutibiwa muulize docta kwanza kasoma chuo gan alaf ndo akupe dawa,unatibiwa na watu kutoka vyuo vyote,et na wewe ni grt thinker
 
Mbona pove linakutoka hivyo mkuu? Ungesoma na kuelewa contents za thread hii ungeelewa wanaotaka kujenga heshimani akina nani. Nani kakuambia waliomaliza Udom hawapati kazi? Kwani waliomaliza udom ndiyo wanaowarudisha wanafunzi waliofukuzwa?
 
Hapo kwenye red,ni SAUT
 
maelezo yako kama yangekuwa ni mwanamke ningesema hayajakamilika kila idara nikimaanisha mwandish yoyote anatakiwa kujb maswal yote ambayo yanaweza kujitokeza na hivyo ndivyo wanavyofundishwa,xaxa wewe umeandika "kwan walikua na heshima?"kina nani?be specific
 
Back
Top Bottom