Waliofuatana na Lowassa CHADEMA

Tunasubiri tuone demokrasia itakavyofanyakazi CHADEMA/UKAWA. Si ajabu akapitishwa ENL peke yake na wengine wakazuiwa kugombea.

Ya Dodoma yamekushinda kushuhudia,ya ukawa yatakusaidia nini gamba mkubwa wewe
 
Jf ifungiwe tu... It is confusing us. Mtu analeta ka-story alikoskia kwenye kahawa halafu anakaita thread... NIMECHOKA NA UJINGA WENU
 
Hivi kule mirembe uliruhusiwa?

yaani Leo nimepona ghafla, maana mtaa wetu wote Ni lowasa Tu! Washasahau komeo Lao limechacha! Lilipashwa alipashiki! Ngoyai ananyota kwakweli!
 

Asante sana mkuu kwa uchambuzi unaojitosheleza
 
Dakika za majeruhi ilikuwa mbili bila ss tumesawazisha na tumeshinda tena kwa kishindo
 

Rostam
Kalamaji
Kingunge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…