Ucseme hvo mkuu watoto wengne bado hawajielew ni kuwapa tu second chancewaacheni waje kuwa maadmin wa groups za whatsApp
Njaba unakitu unataka kuwaambia vijana wetu,hebu weka wazi hapa ueleweke,FDC mnajishughulisha na nini?Karibuni chuo cha maendeleo ya wananchi Kiwanda FDC kilichipo tanga wilaya ya Muheza. For more information call me 0653921339...your most welcome
Nikweli kakaNapendekeza na Wizara ilione hili, ili kupunguza vijana wengi mtaani wasiokuwa na kazi au shughuli za kufanya serikali iamue sasa vijana wote waliopata Division Ziro wapewe nafasi ya kurudia shule hata kidato cha 3 ili waweze kurekebisha walipokosea.
Manake hali ni mbaya watu zaidi ya Laki moja form four for four years for nothing!!
Warudie tu shule watajifunza....
Napendekeza na Wizara ilione hili, ili kupunguza vijana wengi mtaani wasiokuwa na kazi au shughuli za kufanya serikali iamue sasa vijana wote waliopata Division Ziro wapewe nafasi ya kurudia shule hata kidato cha 3 ili waweze kurekebisha walipokosea.
Manake hali ni mbaya watu zaidi ya Laki moja form four for four years for nothing!!
Warudie tu shule watajifunza....
Mkuu kama mzazi siwezi kufikiri hiviwaacheni waje kuwa maadmin wa groups za whatsApp