Mungu atatukumbuka tu.. baba zetu wengine mpaka wamekufa hawajayaona matunda ya elimu walizotoa jasho na damu kugharimia.. angalau wapumzike kwa Amani huko waliko washuhudie hata wakati huu na sisi tukifanikiwa kupata ajira japo za uzeeni.
Mungu atusaidie.
Sent from my Infinix X6511B using
JamiiForums mobile app