Mungu awatie nguvu kusubiri! Kuna post zingine walifanya usaili february, walikuwa wanatakiwa 100 lakini hadi sasa hawajaitwa wote!! Wameita takriban 90. Sasa nyomi ya 800 inaweza kwenda mdogo mdogo hadi mwishoni mwa 2024! Cha maana App & Web Status BOTH should read: Selected for ORAL Interview (but also not a guarantee)!!. Pia ongezeni RECEIVED, hakuna kulala hadi kieleweke, na Mungu ni mwaminifu!!