Meridah Tough
Senior Member
- Nov 27, 2017
- 136
- 365
Na zile interview za tarehe 13/02/2019 za TRC matokeo lini mkuu...??Leo watatoa majina ya walioitwa kwenye practical interview kada ya business analyst na personal secretary. Kuanzia kesho ndo kada nyingine mtaitwa.
Umeniuliza kama vile nafanya kazi utumishi mkuu. Mimi nipo mtaani bro sema nilisoma kwenye page yao.Na zile interview za tarehe 13/02/2019 za TRC matokeo lini mkuu...??
Sent using Samsung; Jamii Forums mobile app
Tatizo ulitoa majibu kama mtumishi wa PSRS mkuu...haya ubarikiwe sana![emoji28][emoji23][emoji28][emoji23]Umeniuliza kama vile nafanya kazi utumishi mkuu. Mimi nipo mtaani bro sema nilisoma kwenye page yao.
Nawewe pia katika michakato na miangaiko yako.Tatizo ulitoa majibu kama mtumishi wa PSRS mkuu...haya ubarikiwe sana![emoji28][emoji23][emoji28][emoji23]
Sent using Samsung; Jamii Forums mobile app
Link ipi unatumia kuona hayo majibu?Matokeo yapo tayari...kuna kada moja waliitw watu 445 wamechanguliwa watu 13..huu uhuni haukubaliki hata kidogo...
Ajira.go.tzLink ipi unatumia kuona hayo majibu?
Mkuu Google search secretariati ya ajira ndo utayakuta ukoLink ipi unatumia kuona hayo majibu?
Mbona hamna,mnayapata wp?Mkuu Google search secretariati ya ajira ndo utayakuta uko