waliofanya interview PSRS leo

waliofanya interview PSRS leo

hii ni speed ya jet kijana. leo tu ndo umefanya interview na kuulizia matokeo. Sasa hii njaa.
 
Kibagata walisema watatoa leo jioni nimejaribu kufungua web yao haifunguki
 
Last edited by a moderator:
wameshatoa matokeo??

hii ni speed ya jet kijana. leo tu ndo umefanya interview na kuulizia matokeo. Sasa hii njaa.

Kibagata walisema watatoa leo jioni nimejaribu kufungua web yao haifunguki



Matokeo yashatoka, someni hapa:

https://www.jamiiforums.com/nafasi-...ujo-naot-tarehe-28-02-2013-a.html#post5810539
Au someni hapa:

MATOKEO YA MTIHANI WA MCHUJO, NAOT, TAREHE 28-02-2013

MATOKEO YA MTIHANI WA MCHUJO, TLSB, TAREHE 28-02-2013
 
Back
Top Bottom