Faida ipo shida ni kutokuwa na consistence katika kufanya jambo , leo unalima hiki kesho kile , keshokutwa kile
Kwa uzoefu wangu niliwahi kulima mahindi ya pop msimu wa kwanza nikawa nimechelewa yakawa hayako katika standard nzuri nikayaunza wenyewe kwa kuchoma bis nikapiga hela nzuri tu ila msimu uliofuata nikayapanda kwa wakati na kuzingatia abc zake nikatengeneza pesa ambayo sikuitegemea kabisa tatizo likawa ni kwamba nililima kiasi kidogo sana kuliko msimu wa kwanza yaani nikabaki naombwa mzigo najificha
Ipo hivi pia kilimo bila kuwa na stoo kitakutesa na utaona hakilipi ila kinalipa vizuri tu ni suala la kuwa na akili nzuri tu ya kufanya jambo sahihi kwa wakati sahihi.
Usiogope fanya tuNa mimi nina mpango wa kulima kilimo cha kumwagilia, hasa kilimo cha mahindi mabichi, Target market yangu iwe DSM. Ila bado nina wasi wasi
Nilistop last year but from this year nitalima non stop hadi niwe the topBado unalima?
Nilistop last year but from this year nitalima non stop hadi niwe the top
Wakuu,
Naona nyuzi mbalimbali za watu wakielezea jinsi walivyoangukia pua baada ya kuingia kwenye kilimo na ufugaji. Hii inawafanya wengi kukata tamaa na kilimo na ufugaji.
Binafsi nilianza kwa kulima mahindi 2015 eka 10 nikaishia kupata gunia 33, siku pata hasara nilirudisha pesa yangu baada ya kuyaweka mahindi stock hadi bei ilipopanda. Mwaka 2018 nikalima alizeti eka 10 nikafeli vibaya, niliambulia gunia 18.
Mwaka jana kwa milioni 3 nikalima vitunguu maji kama ekari 5, mwezi 2 nikauza gunia 25 kwa 520,000 baada ya mahesabu yote nilitengeneza faida kama milioni 10.
Baada ya kunogewa nikalima tena kitunguu cha kumwagilia na nikatumia kama milion 4, sasa hivi navuna tatizo gunia limeshuka hadi elfu 60.
Nimekuwa na ups and down lakini madalali ni tatizo.
Pesa ipo sana tatizo ni timing na soko la uhakika na madalali uchwara na siku mkisikia dalali kapigwa risasi ya kicha na mkulima mjue ni mimi.
Inategemeana na mbegu ila gunia 25-35 unaweza kupata ikiwa ni standard nzuri na hali nzuri ya hewaUkilima kwa ufasaha kabisa kwa hekari moja ya mahindi inaweza kukupa kiasi gani ( in terms of gunia?)
Hongera sana mkuu, hiyo investment kubwa sana ,Kilimo cha msimu kinatesa sana, ndipo nikaamua nilime mazao ya kudumu! Nilitafuta hekari 120 nikapata, nimepanda mikorosho yangu kisasa kabisa!
Hapo nina uhakika kila mwaka kupiga pesa, itavuruga mwaka huu na mwaka kesho lakini mwaka keshokutwa nitapata tuu!
Nimepata hekari zingine 150 mahali, nipo kwenye hatua za mwisho kuhamishia miche ya parachichi kutoka kwenye vitalu! Yaan zinaumiza gharama lakini sijali, nitatoboa tu muda utapofika!
Mawazo haya niliyasoma humu humu! Nikaachana na vilimo vya msimu
Wapi unalima parachichi mkuu na mashamba yanapatikana huko.Kilimo cha msimu kinatesa sana, ndipo nikaamua nilime mazao ya kudumu! Nilitafuta hekari 120 nikapata, nimepanda mikorosho yangu kisasa kabisa!
Hapo nina uhakika kila mwaka kupiga pesa, itavuruga mwaka huu na mwaka kesho lakini mwaka keshokutwa nitapata tuu!
Nimepata hekari zingine 150 mahali, nipo kwenye hatua za mwisho kuhamishia miche ya parachichi kutoka kwenye vitalu! Yaan zinaumiza gharama lakini sijali, nitatoboa tu muda utapofika!
Mawazo haya niliyasoma humu humu! Nikaachana na vilimo vya msimu