KUNA KOO ZIMEJIWEKEA "UFALME" WA KUWATAWALA WATZ NA NYIE MMEFENYWA "WATUMWA" WAO..
1.Mtoto wa Kikwete anagombea
2.Mtoto wa Mavunde anagombea
3.Mtoto wa Warioba anagombea
4.Mtoto wa Sitta anagombea
5.Mtoto wa Bulembo anagombea
6.Mtoto wa Nauye anagombea
7.Mtoto wa mgimwa anagombea
8.Mtoto wa sokoine anagombea
8.Mtoto wa Makamba anagombe
9.Mtoto wa mwinyi anagombea
10.Mtoto wa Nkya anagombea
11.Mke wa sitta anagombea
12.Mke wa masaburi anagombea
13.Mtoto wa Kombani atagombea
Ili waweze kuendeleza ukoo kwenye nafasi zote serikalini mfano za uwaziri, wakuu wa mikoa,wakuu wa mikoa,wakurugenzi wa halmashauri,wakurugenzi wa asasi na mashirika ya kiserikali (mf TANAPA,NSSF,PPF,TPA,TRA, nk. ..wameondoa madaraka yote aliyopewaa wananchi /watumwa kwenye rasimu ya katiba ya wananchi.
-wameondoa madaraka ya wananchi kuwajibisha mbunge mzembe
-wameondoa ukomo wa ubunge
-wameondoa kipengele cha mawaziri wasitokane na wabunge
-wameondoa kipengele cha kufanya watendaji wa kiserikali mf wakuu wa mikoa wasitokane na vyama
-wameondoa vipengele vyote ya kupunguza madaraka ya rais
-wameondoa kipengele cha kutaka jaji mkuu,mwenyekiti wa tume,wakurugenzi wa halamashauri, wasiwe wateuliwa wa rais
-wameondoa kipengele cha kupunguza idadi ya wabunge
-wameondoa kipengele cha kupunguza baraza la mawaziri, nk nk.
WAO WANAJITENGENEZEA KAZI WANASEMA "HAPA KAZI TU"...NA NYIE MLIOFANYWA WATUMWA..MNAWAITIKIA TU.."HAPA KAZI TU"..
IMETOSHA SASA..
..NI WAKATI WA KUFUTA MFUMO HUU WA UTUMWA..
..NI WAKATI WA MABADILIKO