ivi wadau mbona nacte na vyuo vikuu naona kama hawajapanga mambo yao sawa?, kwa mfano unachaguliwa chuo husika halafu chuoni wanakukataa huoni kama ni kumpotezea muda mwanafunzi?yaan badala ya mwanafunzi kujiandaa na ada ya shule anaanza kufuatilia chuo kingine honestly sio kama.wana sytem nzuri , wanatakiwa kumallocate mwanafunzi sehemu anayoenda kusoma wakiwa na huo uhakika