Meja mstaafu
JF-Expert Member
- Jul 17, 2017
- 533
- 1,124
Thanks, but sina ufahamu sana na hii kozi naomba kuijua zaidi endapo unaifahamu inahusu mambo gani. Kwa sababu Mimi nilijaziwa tu na bro kipindi nipo jkt.Karibu ndugu hiyoo ipo main campus, n nzur sana pia
umefanikiiwa kupata admission letter maana naona wanasema tutapata kwenye account zetu alafu sioniMimi nimechaguliwa agribusiness and economics mwenye ujuzi zaidi na hii kozi
Hata mie cjaonaumefanikiiwa kupata admission letter maana naona wanasema tutapata kwenye account zetu alafu sioni
Unasubili nn unaijua vzuri iyo koz watu wanalilia wanakosaPamoja kaka nimechaguliwa SUA food science ila bdo sijaconfirm.
Kapige ni kozi Mama ya Engineering pale,iko vizuri tuu inakupa uwanja mpana.Ni moja ya wahitimu wa hii kozi undergraduate.Kakomae tuuu siku hizi kuna Mzee Amestaafu ndiyo alikuwa anatishia usalama wa ku exist pale Ni Dr.Mulengera(Huyu alikuwa rigid) ukipita kwake ni miujiza tuu.Kila la kheri any quiry uliza hapa
Kwan SUA una confirm vipi?Mimi nimechaguliwa agribusiness and economics mwenye ujuzi zaidi na hii kozi
Kusoma chuo ni kufuata maelekezo ya mseminishaji/mwalimu tuu.Ukileta za kujifanya Deep,kupinga mwalimu anachoeleza inakula kwako mapeeeema Semester ya kwanza tuu.Wewe ukifika weka zingatio katika masomo na misele midogo midogo usiache.Nakumbuka mimi tulikuwa na masela wangu piga sana discussion na misele kama kawa LAKINI MPAKA TUNAMALIZA HATUKUWAHI KUFANYA PROBATION/KURUDIA MTIHANI.na hata mlango wa Library tuliingia siku ya kufanya clearence tulipokuwa tunamaliza.All the best upcoming Engineershukrani mkuu kwa info,vip kuna changamoto gani kwenye usomaji wa hii kozi hapo SUA
Kila la heri kiongozi. I was there, same course...wakuu nami nitakuwepo SUA water and irrigation
Mlengera was smart. Nilitaman kabla haja staafu Anisimie SP yangu bahati mbaya akastaafu!!Kapige ni kozi Mama ya Engineering pale,iko vizuri tuu inakupa uwanja mpana.Ni moja ya wahitimu wa hii kozi undergraduate.Kakomae tuuu siku hizi kuna Mzee Amestaafu ndiyo alikuwa anatishia usalama wa ku exist pale Ni Dr.Mulengera(Huyu alikuwa rigid) ukipita kwake ni miujiza tuu.Kila la kheri any quiry uliza hapa
Agric engineering inafanana sana na mechanical engineering. Pale department ziko kozi tatu za uhandisi ila agric engineering ina kaugum kake haswa mwaka wa pili na wa tatu!!shukrani mkuu kwa info,vip kuna changamoto gani kwenye usomaji wa hii kozi hapo SUA
Agric engineering inafanana sana na mechanical engineering. Pale department ziko kozi tatu za uhandisi ila agric engineering ina kaugum kake haswa mwaka wa pili na wa tatu!!
Mwaka wa tatu palikua na prof anaitwa Tumbo sema siku hizi sizan kama yupo ila huyu alikua anabeba kijiji anakipeleka mazimbu... Bila kumsahau Dr Baanda na kozi yake ya umeme!!
Ukiwa makin hamna kinachoshindikana...
Sawa Mkuu nitazingatia ushauri wako,respect kwako[emoji120]Kusoma chuo ni kufuata maelekezo ya mseminishaji/mwalimu tuu.Ukileta za kujifanya Deep,kupinga mwalimu anachoeleza inakula kwako mapeeeema Semester ya kwanza tuu.Wewe ukifika weka zingatio katika masomo na misele midogo midogo usiache.Nakumbuka mimi tulikuwa na masela wangu piga sana discussion na misele kama kawa LAKINI MPAKA TUNAMALIZA HATUKUWAHI KUFANYA PROBATION/KURUDIA MTIHANI.na hata mlango wa Library tuliingia siku ya kufanya clearence tulipokuwa tunamaliza.All the best upcoming Engineer