nkanga chief
JF-Expert Member
- May 31, 2016
- 2,084
- 1,623
Tukutane hapa wadau tuliochaguliwa kozi zote SAUTI-Mtwara
Hahaaaaah mkuu na huku upoTUKUTANE HAPA WADAU TULIOCHAGULIWA KOZI ZOTE SAUT.MTWARA
[emoji3] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji81]Hahaaaaah mkuu na huku upo
[emoji3] [emoji23] [emoji23] [emoji81] [emoji81] [emoji1]Hahaaaaah mkuu na huku upo
Hawa itakuwa waliona jumapilijamani c mtuambie me mwenyewe ni hvyhvy ati provisionally selected
KARIBU MTWARA UMECHAGULIWA KOZI GANIMm pia nmechaguliwaa huko kwa diploma...
Diploma in primary educationKARIBU MTWARA UMECHAGULIWA KOZI GANI
KARIBU SANA HUKU KUSINIDiploma in primary education
Asant... Mkuu na ww huko hapo chuon ama!! Na unachukuaa nnKARIBU SANA HUKU KUSINI
NASOMA BBAAsant... Mkuu na ww huko hapo chuon ama!! Na unachukuaa nn
Ada being gani mkuu nijiandae kwa mwakani ...Diploma in primary education
977000Ada being gani mkuu nijiandae kwa mwakani ...
Mkuu utakuwa mwenyej wang... Ila mambo yko poa hapoNASOMA BBA
Hivi majina ya 2nd round wameshatoa?Tukutane hapa wadau tuliochaguliwa kozi zote SAUTI-Mtwara
ndio yametokaHivi majina ya 2nd round wameshatoa?
umeshatoaaisee vp kuhusu sociology huko?maana nimeomba second round hapo stella